Tujifunze kutafakari: Aliyekimbia toka Kigoma alitumiaje siku 22 umbali wa 1400KM?

Tujifunze kutafakari: Aliyekimbia toka Kigoma alitumiaje siku 22 umbali wa 1400KM?

Kwa ulaya lazima tungeona camera ikimrekodi na kila siku kupata update ili huku gizani sasa tumeishia kumuona kigoma na taifa tu...
 
Hiyo km 5/lisaa ni kwa kutembea siyo kukimbia, mimi huwa natumia masaa mawl na DKK arobain kukimbia umbali wa km 42.
Hii siwezi inawezekana sana nimewahi shuhudia kwa wakimbiaji kadhaa na wengine wakikimbia chini ya hapo.
 
Alfu eti jezi zake znawekwa makumbusho[emoji28]jmn wabongoo
 
Mtoa mada hesabu zako zina walakini mkubwa. Nadhani ulitaka kuonesha kuwa jamaa hawezi kufanya jambo kama lile ilhali BADALA ya kuamini kuwa ni jambo linalowezekana.

Hili ni tatizo kwa sisi waafrika wengi. Tunapenda kukimbilia kwenye kuona jambo fulani haliwezekani na kuanza kulijengea hoja.

1. Sehemu nyingi alipita mchana. Usiku mkali alikuwa akipumzika kwa kuoga, kulala na kula. Mfano Morogoro, Kibaha alipita usiku kwa mujibu wa watu waliomshuhudia. Moro alifika usiku na kupumzika kwa siku nzima kwa ajili ya kupimwa tumbo na kumeza dawa baada ya kugundulika ana typhoid.

2. Mchana aliutumia kukimbia na kutembea kwa masaa zaidi ya 15 kwa siku.

3. Dar-Kigoma ni approx 1200km. Hivyo kwa siku 22 yenye masaa (22x24) = 528. Kwamba alitumia wastani wa saa 1 kwa kila 3km approx. Kwa kuwa hakuwa akikimbia usiku basi inabidi at least tufanye umbali huo mara mbili au tupunguze masaa kwa nusu. Yaani kuna uwezekano alikimbia 6km kwa kila saa moja.
Jambo ambalo ni mwendo wa kawaida kabisa usio na mateso kwa watu wenye mazoezi.

Mimi kila asubuhi hutembea 2.5km kwa dakika 20 tu kulifuata daladala.

Huyo jamaa ni mdau wa marathon kitambo 6km kwa lisaa kwake ni kama kumsukuma mlevi.
 
Usichokijua huyo Mwamba alikuwa hatembei ila anakimbia.
Hebu angalia wale jamaa wa marathon wanakimbia km 42 kwa masaa 2 tena sio mbio ni mwendo wa kawaida, sasa huyo jamaa kutwa yupo kwenye mwendo kwanin asifike Dar?
 
Mtoa mada unaweza kuwa na point ILA mambo ya kukimbia yamekupitia kushoto. Ngoja Mimi mkimbiaji wa kujifurahisha nikuwekee namba zangu.
Huwa nakimbia kitu wanaita PACE ya 6(hii ni yetu wazee vijana). Maanake ni kuwa kwa dakika 6 nakimbia km1 Kwa maana hii 1hr nakimbia 10km. Na huwa nashiriki half marathon 21km natumia masaa mawili na dakika 20 hivi.
Sasa ina maana kama sitasimama kwa masaa 10 nitakimbia km 100+
Tafuta taarifa kutoka kwa jamaa wa Goba runners wana watu wao wanakimbia Dar Moro. Wengine walikimbia kuzunguka Dar usiku saa sita Hadi 12 asubuhi I guess sikumbuki ni km ngapi. Wapo wengi wanakimbia kama huyu jamaa wa Kigoma mkoa to mkoa.
 
Hivi TFF wanakati wanaleta zengwe hawakuona watu kama hawa?
Huyu jamaa inabidi awadai Tff fedha nyingi sana...haiwezekani akoswe koswe na chui nyoka kisha waahirishe mechi
 
Nikwel jamaa katoka Kigoma kwa miguu nadhibitisha kabisa bila kupepesa macho na tayar kampuni mbali mbali za matangazo yupo nazo kweny mazungumzo Daima mbele nyuma mwiko
 
Nyie Watu Mbona Wafukunyuku....? Mwacheni Mwenzenu Kashakula Laki 5 zake na Tiketi Ya ndege Juu...! Sa hizi huko aliko anapiga mluzi tu.
Nimecheka hatari jf ni sehemu mhimu sana kwangu stoki hapa mpaka kifo kitutenganishe.
 
Umbali wa kutoka kigoma kwenda Dar ni almost 1400KM

Ili ufanikiwe kutoka kigoma kwa kukimbia inabidi at most ukimbie kwa Speed ya 5km/hr ili kumaintain stability na pumzi!
Kwa maana hiyo, ili kupata mda sahihi ukichukua umbali 1400 gawa kwa mwendo 5 utapata majibu ya 280 ambayo ni idadi ya masaa kwa umbali huo mfululizo NON STOP ( Yaani hakuna kukojoa wala kula)

Masaa 280 ukichukulia alikimbia mchana NON STOP 12 Hours maana yake (280/12) ni sawa na siku 23 na masaa mawili (23.3) NON STOP

Hivyo basi, speed ya 5Km/hr kwa masaa 12 mfululizo bila kupumzika, bila kukojoa,Bila kula na kunywa, bila kuchimba dawa yaani kila sekunde na hatua, tunatarajia mtu angetumia siku 23.3 (JAMBO AMBALO HALIWEZEKANI BINADAM Kukimbia 12hrs bila kusimama)

Kama kwa gari tu ni ngumu kukimbia 12hrs pasipo kuchimba sawa, iweje kwa mkimbia kwa mguu?

Huyu jamaa kawezaje kukimbia kwa siku 22 kutoka Kigoma hadi Dar wakati kiuhalisia 12hrs NON STOP ni siku 23?

Ina maana huyo jamaa alikatiza misitu ya hatari huko nyakanazi, na kupandisha mirima pasipo KUSIMAMA 12 hours Kila siku Hadi atangazwe katumia siku 22?

Tunaambiwa alianza safari tarehe 15 April mchana, na kufika Dar tarehe 7 may ! Amewezaje kutumia mda huo ambao ni mchache zaidi ya uhalisia?

JE, hakusimama kula, kuchimba dawa, kukojoa wala n.k
Mbona sayansi inagoma?
AU NDO TUAMINI ULE MSEMO kuwa alikimbia mijini, inje ya mji alidandia maroli?
Au hii hesabu ikoje?View attachment 1782115View attachment 1782116View attachment 1782117
Kama ni mkimbiaji wa siku zote anaweza kwenda hadi 10km/hr, so hizo siku 22 ni sawa tena ni nyingi
 
Kazingua
Alitakiwa Atulie na atumie siku 5 tu sana sana -
Zikizidi ziwe 10 -15 .
Imeisha hiyo.

Usithubutu kumuiga wewe ( key body Warrior) mla Chips, Azam Juice na Kuku wa kisasa.
Utakufa.
 
Usiwaamini sana Yanga! Nimetoka huko juzi, dereva katembea vibaya mno lakini tumefika Mbezi SAA nane usiku halafu kuna Mwana Yanga anjitokeza anatudanganya hapa. Nilikaa kimya tu
 
Back
Top Bottom