Tujifunze kutafakari: Aliyekimbia toka Kigoma alitumiaje siku 22 umbali wa 1400KM?

We kwani jmaa mwenye ukimcheki unamuonaje,jamaa anaonekana mtu wa kazi......
 
Jaribu kukimbia wewe tuone utatumia siku ngapi.
 
Dar to kigoma sio km 1400 bali ni km 1200
1400/22=63

Haiwezekani kwa siku binadamu atembee kilomita 63.Never!



Normal running speed = 8 hadi 11 km/hr (5-7 mph)

Anahitaji tu saa 6 hadi 8 kwa siku ili kukava km 63 (daily average)!!!

NB: Bi Mkubwa arudishe hela za wananchi na fidia za hasara & usumbufu!!!
 
Kwahiyo kwa akili yako alitumia 20km/hr hivyo yuko sahihi
Una matatizo ya akili

Angetumia km hizo si angetumia 12 days ??


Jifunze kutumia akili , i just wanted to tell you 5 km per hr n speed ya kutembea kwa mguu kawaida kabisa , that means mtu akikimbia mwendo mdogo kama wa kupasha tu anajikuta kwenye km kati ya 8 na 12 kwa saa

Utakua mfuasi wa mwendazake, ndio binadamu pekee ambao hawana akili kabisa
 
mwenzetu viatu ,bukta na tshirt zake vishawekwa makumbusho ya taifa
 
Hiyo km 5/lisaa ni kwa kutembea siyo kukimbia, mimi huwa natumia masaa mawl na DKK arobain kukimbia umbali wa km 42.
Exactly, km5 unazikata kwa kutembea kwa muda usiozidi dakika 30 tena kwa mwendo wa taratibu kabisa. Ukikimbia kwa mwendo wa kawaida tu ikiwemo na kusimama ndani ya lisaa utakuwa umekata si chini ya km 30
 
Ongeza masaa, anaanza safari sa 11 asbh hadi saa 3 uck, ni zaidi ya masaa 14.
 
Kuna maeneo hatari hata gari yenyewe inaogopa kupita.

Kwa mguu haimaanishi hapandi gari au hatumii usafiri Bali zile sehemu ambazo hazina ulazima wa gari,baiskeli, hata pikipiki Basi inambidi atembee yaan inakuwa 70% mguu kwa 30% nyenzo ya usaidizi wa kusafiri
 
Mkuu mijitu mijinga km hii mimi huwa siisikilizi kabisa. Logically jambo km hilo tena kwa jiografia ya nchi yetu ni impossible.
Alitaka afanye tu kituko ili atrend.
 
Duh... Kwani Yeye Anasemajee!??

Huo umbali wa kilometa 1400 toka Kigoma hadi Dar ni kwa njia ipi, na yeye alitumia njia ipi? Unatakiwa ufanye uchambuzi huo! Mimi naweza kusafiri toka Dar hadi Morogoro umbali wa kilometa karibu 200 sio kwa kufuata barabara ya Dar-Moro kila pahala. Naweza kupiga njia za mkato ili mradi nifike Moro. Kwa hiyo badala ya kukimbia kilometa 200 unawezakuta nimekimbia kilometa 120 tu lakini nimefika Moro! Kwa hiyo tujuze hizo kilometa 1400 ni kwa kupitia wapi na yeye alipitia wapi!
 
Labda kuna wakati alikuwa anapaa
Kwa kutumia ile teknolojia yetu pendwa

Ova
 
Yaani hiyo 5km/h uweke wewe Kisha intake yeye akujibu kwa kitu ambacho sio halisia.

Wakimbia marathon wanakimbia 50 kwa masaa mawili say matatu. Huyu Bwana amekuwa anakimbia marathon hivyo kwa siku moja anaweza kukimbia mpaka 70km kwa masaa manne au matano.

Muda mwingine anautumia kwa Mambo mengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…