Tujifunze kutafakari: Aliyekimbia toka Kigoma alitumiaje siku 22 umbali wa 1400KM?

1400/22=63

Haiwezekani kwa siku binadamu atembee kilomita 63.Never!
Mkuu alikuwa hatembei,alikuwa anakimbia

Hata hivyo hesabu ya mleta mada haina uhalisia..Mimi natumia hizo km5 Kwa saa 1 Kwa kutembea tu,lakini km 5 hizohizo nikikimbia natumia dakika 20_25

Kwa hiyo mleta mada aangalie upya hiki kipengele cha calculation zake za huyo mkimbiaji,kitu ambacho ndy kinaleta mjadala wa hoja mzima
 
Huyu alikuwa anakula lift bhana hapa kapata ya pikipiki hapa ya lori hapa ya baiskeli hapa katembea kwa mguu ndo safari ilivyokuwa bila shaka aache kudanganya
 
Unatambua kwamba anasemaje alikaa Moro kutibu tumbo siku tatu? Maanake anasema angefika dar kwa siku 18 tu!
 
Huyu alikuwa anakula lift bhana hapa kapata ya pikipiki hapa ya lori hapa ya baiskeli hapa katembea kwa mguu ndo safari ilivyokuwa bila shaka aache kudanganya
Tena Moro anasema kakaa siku tatu kuuguza tumbo maanake angefika kwa siku 18 tu...
From Moro tu dar kakimbia kwa siku moja tu anasema! Ndo mjue kama hamjui miguuni alikuwa na rejeta
 
Tena Moro anasema kakaa siku tatu kuuguza tumbo maanake angefika kwa siku 18 tu...
From Moro tu dar kakimbia kwa siku moja tu anasema! Ndo mjue kama hamjui miguuni alikuwa na rejeta
Muvi ya kihindi hiyo mtu anakimbiza gari kwa mguu
 
Wawe wanafungwa GPRS na hakuna kuzimwa ili tupate Record Breaker wazuri na Reliable
 
Waafrika buana, anagefanya ngozi nyeupe, ungekuta sifa kibao.....mchawi wa mwafrika ni mwafrika mwenyewe, hata kama alipamda gari baadhi ya maeneo ila anastahili pomgezi.........
 
Waafrika buana, anagefanya ngozi nyeupe, ungekuta sifa kibao.....mchawi wa mwafrika ni mwafrika mwenyewe, hata kama alipamda gari baadhi ya maeneo ila anastahili pomgezi.........
Tatizo uongo! Bora angetumia hata siku 50 za ukweli! Wazungu hufanya kwa uwazi
 
Hivi nyie mnadhani watu wanajua hesabu kiviile?
Hesabu sio rahisi kama mnavyodhani.ndo maana wana simba mnapinga

Kama alitumia 22 days basi ni mzembe😊

Hizo 22 days ilibidi atumie mtu wa kawaida ambae hana mazoezi.

Mtu ambae hawezi kimbia hata mita 200 kitambi kule, kweli anaweza amini kuwa jamaa aliweza?

Nimesoma comments za wanamazoezi + wale ninaowajua personally.

Kabisa inawezekana acheni ubishi nawachapa viboko.
 
Sawa
 
Kabisa mbn inawezekana sn..alafu mleta mada ndy kapotosha sasa..hivi km 5 si ni za mtu anayetembea?

mfanya mazoezi unakimbiaje km 5/h sasa?
Mimi Tu navizia vizia kufanya mazoezi lkn km 5 hazizidi nusu saa nikikimbia
 
Kgm Dar kupitia uvinza nguruka kaliua urambo tabora itigi dodoma Moro ni km zisizozidi 1250. Kwa siku 22 ni km 57. Akitembea masaa 10 pekee ni km 5.7 kwa saa au mita 57 kwa dakika. Anatumia masaa 14 kupumzika kula na kulala kidogo. inawezekana kabisa
 
Kutembea kukimbia sijahofu.. Ila mazingira ya safari. Mf; tuna jiji na link zake ni ndefu na hutisha either mchana au usiku.. na kwa njia ya kigoma jamani maeneo ya kigoma- tabora kuna mapori makali. Mf: jamani ukimaliza pale mizani uanze shuka downfall ya wami hakuna taa.. giza nene usiku.. umalize daraja uanze kupanda ule mlima mpaka ukute Kijiji.. watu wanashangaa huyu jamaa vp maana si wote wanajua wewe ni nani na unafanya advanture gani.. naamini inaezekana Ila kwa mpango maalumu na pia kuwepo vituo maalumu.. tent za kulala.. etc Ila kwa story za Msela.. anamuamini Ila simuelewi jooo
 
Kabisa mbn inawezekana sn..alafu mleta mada ndy kapotosha sasa..hivi km 5 si ni za mtu anayetembea?

mfanya mazoezi unakimbiaje km 5/h sasa?
Mimi Tu navizia vizia kufanya mazoezi lkn km 5 hazizidi nusu saa nikikimbia
Unasubiri nini? Anza leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…