Shukrani mkuu [emoji120][emoji120][emoji120] niko vzr sana@tal tal Hongera
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani mkuu [emoji120][emoji120][emoji120] niko vzr sana@tal tal Hongera
Mkuu alikuwa hatembei,alikuwa anakimbia1400/22=63
Haiwezekani kwa siku binadamu atembee kilomita 63.Never!
Unatambua kwamba anasemaje alikaa Moro kutibu tumbo siku tatu? Maanake anasema angefika dar kwa siku 18 tu!Mkuu alikuwa hatembei,alikuwa anakimbia
Hata hivyo hesabu ya mleta mada haina uhalisia..Mimi natumia hizo km5 Kwa saa 1 Kwa kutembea tu,lakini km 5 hizohizo nikikimbia natumia dakika 20_25
Kwa hiyo mleta mada aangalie upya hiki kipengele cha calculation zake za huyo mkimbiaji,kitu ambacho ndy kinaleta mjadala wa hoja mzima
Km jamaa ni mkimbiaji mzuri,km hizo 63 anaweza kukimbia chini ya masaa 6 endapo Tu atakuwa anakimbia 10 km Kwa saa,kitu ambacho ni simple Sana Kwa mtu mfanya mazoezi kukimbia zaidi ya 10 km/h1400/22=63
Haiwezekani kwa siku binadamu atembee kilomita 63.Never!
Tena Moro anasema kakaa siku tatu kuuguza tumbo maanake angefika kwa siku 18 tu...Huyu alikuwa anakula lift bhana hapa kapata ya pikipiki hapa ya lori hapa ya baiskeli hapa katembea kwa mguu ndo safari ilivyokuwa bila shaka aache kudanganya
Nakuunga mkono...hatubanduki JFNimecheka hatari jf ni sehemu mhimu sana kwangu stoki hapa mpaka kifo kitutenganishe.
Soma hapa dmkaliKm jamaa ni mkimbiaji mzuri,km hizo 63 anaweza kukimbia chini ya masaa 6 endapo Tu atakuwa anakimbia 10 km Kwa saa,kitu ambacho ni simple Sana Kwa mtu mfanya mazoezi kukimbia zaidi ya 10 km/h
Muvi ya kihindi hiyo mtu anakimbiza gari kwa mguuTena Moro anasema kakaa siku tatu kuuguza tumbo maanake angefika kwa siku 18 tu...
From Moro tu dar kakimbia kwa siku moja tu anasema! Ndo mjue kama hamjui miguuni alikuwa na rejeta
Tatizo uongo! Bora angetumia hata siku 50 za ukweli! Wazungu hufanya kwa uwaziWaafrika buana, anagefanya ngozi nyeupe, ungekuta sifa kibao.....mchawi wa mwafrika ni mwafrika mwenyewe, hata kama alipamda gari baadhi ya maeneo ila anastahili pomgezi.........
SawaHivi nyie mnadhani watu wanajua hesabu kiviile?
Hesabu sio rahisi kama mnavyodhani.ndo maana wana simba mnapinga
Kama alitumia 22 days basi ni mzembe😊
Hizo 22 days ilibidi atumie mtu wa kawaida ambae hana mazoezi.
Mtu ambae hawezi kimbia hata mita 200 kitambi kule, kweli anaweza amini kuwa jamaa aliweza?
Nimesoma comments za wanamazoezi + wale ninaowajua personally.
Kabisa inawezekana acheni ubishi nawachapa viboko.
Wazungu wanatudanganya mengi tu na tunasifiaTatizo uongo! Bora angetumia hata siku 50 za ukweli! Wazungu hufanya kwa uwazi
Kabisa mbn inawezekana sn..alafu mleta mada ndy kapotosha sasa..hivi km 5 si ni za mtu anayetembea?Hivi nyie mnadhani watu wanajua hesabu kiviile?
Hesabu sio rahisi kama mnavyodhani.ndo maana wana simba mnapinga
Kama alitumia 22 days basi ni mzembe[emoji4]
Hizo 22 days ilibidi atumie mtu wa kawaida ambae hana mazoezi.
Mtu ambae hawezi kimbia hata mita 200 kitambi kule, kweli anaweza amini kuwa jamaa aliweza?
Nimesoma comments za wanamazoezi + wale ninaowajua personally.
Kabisa inawezekana acheni ubishi nawachapa viboko.
Kgm Dar kupitia uvinza nguruka kaliua urambo tabora itigi dodoma Moro ni km zisizozidi 1250. Kwa siku 22 ni km 57. Akitembea masaa 10 pekee ni km 5.7 kwa saa au mita 57 kwa dakika. Anatumia masaa 14 kupumzika kula na kulala kidogo. inawezekana kabisaUmbali wa kutoka kigoma kwenda Dar ni almost 1400KM
Ili ufanikiwe kutoka kigoma kwa kukimbia inabidi at most ukimbie kwa Speed ya 5km/hr ili kumaintain stability na pumzi!
Kwa maana hiyo, ili kupata mda sahihi ukichukua umbali 1400 gawa kwa mwendo 5 utapata majibu ya 280 ambayo ni idadi ya masaa kwa umbali huo mfululizo NON STOP ( Yaani hakuna kukojoa wala kula)
Masaa 280 ukichukulia alikimbia mchana NON STOP 12 Hours maana yake (280/12) ni sawa na siku 23 na masaa mawili (23.3) NON STOP
Hivyo basi, speed ya 5Km/hr kwa masaa 12 mfululizo bila kupumzika, bila kukojoa,Bila kula na kunywa, bila kuchimba dawa yaani kila sekunde na hatua, tunatarajia mtu angetumia siku 23.3 (JAMBO AMBALO HALIWEZEKANI BINADAM Kukimbia 12hrs bila kusimama)
Kama kwa gari tu ni ngumu kukimbia 12hrs pasipo kuchimba sawa, iweje kwa mkimbia kwa mguu?
Huyu jamaa kawezaje kukimbia kwa siku 22 kutoka Kigoma hadi Dar wakati kiuhalisia 12hrs NON STOP ni siku 23?
Ina maana huyo jamaa alikatiza misitu ya hatari huko nyakanazi, na kupandisha mirima pasipo KUSIMAMA 12 hours Kila siku Hadi atangazwe katumia siku 22?
Tunaambiwa alianza safari tarehe 15 April mchana, na kufika Dar tarehe 7 may ! Amewezaje kutumia mda huo ambao ni mchache zaidi ya uhalisia?
JE, hakusimama kula, kuchimba dawa, kukojoa wala n.k
Mbona sayansi inagoma?
AU NDO TUAMINI ULE MSEMO kuwa alikimbia mijini, inje ya mji alidandia maroli?
Au hii hesabu ikoje?View attachment 1782115View attachment 1782116View attachment 1782117
Unasubiri nini? Anza leoKabisa mbn inawezekana sn..alafu mleta mada ndy kapotosha sasa..hivi km 5 si ni za mtu anayetembea?
mfanya mazoezi unakimbiaje km 5/h sasa?
Mimi Tu navizia vizia kufanya mazoezi lkn km 5 hazizidi nusu saa nikikimbia
safi pia, hahaaaAlisema alipumzika Guest House kadhaa kwaajili ya kuoga na kulala ila nguo hakubadilisha.