Peaceforever
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,030
- 2,200
Maisha mapambano, kila mtu kwa namna yake Mungu atakavyomjalia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najiandaa nikupitieUnasubiri nini? Anza leo
Oyaa km 42 unazijua? Au unaona kitonga tu kuziandikaHiyo km 5/lisaa ni kwa kutembea siyo kukimbia, mimi huwa natumia masaa mawl na DKK arobain kukimbia umbali wa km 42.
Mara nyingine kwa miguu unaweza kupita shortcuts ambazo gari haliwezi. Kwa hivyo kama hizo km 1400 unazosema ni za barabara ya gari, kuna uwezekano mkubwa kwa miguu ikawa pungufu kidogo.Umbali wa kutoka kigoma kwenda Dar ni almost 1400KM
Ili ufanikiwe kutoka kigoma kwa kukimbia inabidi at most ukimbie kwa Speed ya 5km/hr ili kumaintain stability na pumzi!
Kwa maana hiyo, ili kupata mda sahihi ukichukua umbali 1400 gawa kwa mwendo 5 utapata majibu ya 280 ambayo ni idadi ya masaa kwa umbali huo mfululizo NON STOP ( Yaani hakuna kukojoa wala kula)
Masaa 280 ukichukulia alikimbia mchana NON STOP 12 Hours maana yake (280/12) ni sawa na siku 23 na masaa mawili (23.3) NON STOP
Hivyo basi, speed ya 5Km/hr kwa masaa 12 mfululizo bila kupumzika, bila kukojoa,Bila kula na kunywa, bila kuchimba dawa yaani kila sekunde na hatua, tunatarajia mtu angetumia siku 23.3 (JAMBO AMBALO HALIWEZEKANI BINADAM Kukimbia 12hrs bila kusimama)
Kama kwa gari tu ni ngumu kukimbia 12hrs pasipo kuchimba sawa, iweje kwa mkimbia kwa mguu?
Huyu jamaa kawezaje kukimbia kwa siku 22 kutoka Kigoma hadi Dar wakati kiuhalisia 12hrs NON STOP ni siku 23?
Ina maana huyo jamaa alikatiza misitu ya hatari huko nyakanazi, na kupandisha mirima pasipo KUSIMAMA 12 hours Kila siku Hadi atangazwe katumia siku 22?
Tunaambiwa alianza safari tarehe 15 April mchana, na kufika Dar tarehe 7 may ! Amewezaje kutumia mda huo ambao ni mchache zaidi ya uhalisia?
JE, hakusimama kula, kuchimba dawa, kukojoa wala n.k
Mbona sayansi inagoma?
AU NDO TUAMINI ULE MSEMO kuwa alikimbia mijini, inje ya mji alidandia maroli?
Au hii hesabu ikoje?View attachment 1782115View attachment 1782116View attachment 1782117
Yes hua wanatekwa kifala fala na kupigwa miti kabisa.Wewe unadhani wanateka kifalafal tu, yaani unapita na viazi au mchovu mchovu tu utekwe? Ile Huwa syndicate na unakuwa planned. Mbona magari yanapita kila siku, umesikia yametekwa lini?
Ili wampake mafuta.Sasa mtu hana kitu wamteke wa kazi gani?
Nenda MarathonHiyo km 5/lisaa ni kwa kutembea siyo kukimbia, mimi huwa natumia masaa mawl na DKK arobain kukimbia umbali wa km 42.
Mtoa mada hesabu zako zina walakini mkubwa. Nadhani ulitaka kuonesha kuwa jamaa hawezi kufanya jambo kama lile ilhali BADALA ya kuamini kuwa ni jambo linalowezekana.
Hili ni tatizo kwa sisi waafrika wengi. Tunapenda kukimbilia kwenye kuona jambo fulani haliwezekani na kuanza kulijengea hoja.
1. Sehemu nyingi alipita mchana. Usiku mkali alikuwa akipumzika kwa kuoga, kulala na kula. Mfano Morogoro, Kibaha alipita usiku kwa mujibu wa watu waliomshuhudia. Moro alifika usiku na kupumzika kwa siku nzima kwa ajili ya kupimwa tumbo na kumeza dawa baada ya kugundulika ana typhoid.
2. Mchana aliutumia kukimbia na kutembea kwa masaa zaidi ya 15 kwa siku.
3. Dar-Kigoma ni approx 1200km. Hivyo kwa siku 22 yenye masaa (22x24) = 528. Kwamba alitumia wastani wa saa 1 kwa kila 3km approx. Kwa kuwa hakuwa akikimbia usiku basi inabidi at least tufanye umbali huo mara mbili au tupunguze masaa kwa nusu. Yaani kuna uwezekano alikimbia 6km kwa kila saa moja.
Jambo ambalo ni mwendo wa kawaida kabisa usio na mateso kwa watu wenye mazoezi.
Mimi kila asubuhi hutembea 2.5km kwa dakika 20 tu kulifuata daladala.
Huyo jamaa ni mdau wa marathon kitambo 6km kwa lisaa kwake ni kama kumsukuma mlevi.
Kgm Dar kupitia uvinza nguruka kaliua urambo tabora itigi dodoma Moro ni km zisizozidi 1250. Kwa siku 22 ni km 57. Akitembea masaa 10 pekee ni km 5.7 kwa saa au mita 57 kwa dakika. Anatumia masaa 14 kupumzika kula na kulala kidogo. inawezekana kabisa
Umbali wa kutoka kigoma kwenda Dar ni almost 1400KM
Ili ufanikiwe kutoka kigoma kwa kukimbia inabidi at most ukimbie kwa Speed ya 5km/hr ili kumaintain stability na pumzi!
Kwa maana hiyo, ili kupata mda sahihi ukichukua umbali 1400 gawa kwa mwendo 5 utapata majibu ya 280 ambayo ni idadi ya masaa kwa umbali huo mfululizo NON STOP ( Yaani hakuna kukojoa wala kula)
Masaa 280 ukichukulia alikimbia mchana NON STOP 12 Hours maana yake (280/12) ni sawa na siku 23 na masaa mawili (23.3) NON STOP
Hivyo basi, speed ya 5Km/hr kwa masaa 12 mfululizo bila kupumzika, bila kukojoa,Bila kula na kunywa, bila kuchimba dawa yaani kila sekunde na hatua, tunatarajia mtu angetumia siku 23.3 (JAMBO AMBALO HALIWEZEKANI BINADAM Kukimbia 12hrs bila kusimama)
Kama kwa gari tu ni ngumu kukimbia 12hrs pasipo kuchimba sawa, iweje kwa mkimbia kwa mguu?
Huyu jamaa kawezaje kukimbia kwa siku 22 kutoka Kigoma hadi Dar wakati kiuhalisia 12hrs NON STOP ni siku 23?
Ina maana huyo jamaa alikatiza misitu ya hatari huko nyakanazi, na kupandisha mirima pasipo KUSIMAMA 12 hours Kila siku Hadi atangazwe katumia siku 22?
Tunaambiwa alianza safari tarehe 15 April mchana, na kufika Dar tarehe 7 may ! Amewezaje kutumia mda huo ambao ni mchache zaidi ya uhalisia?
JE, hakusimama kula, kuchimba dawa, kukojoa wala n.k
Mbona sayansi inagoma?
AU NDO TUAMINI ULE MSEMO kuwa alikimbia mijini, inje ya mji alidandia maroli?
Au hii hesabu ikoje?