King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Agenda Settings - Creating Attention - Game Changer.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha utani mkuu.. Nimeshawahi kutembea km 97 kwa masaa 13.. Enzi nipo O Level..1400/22=63
Haiwezekani kwa siku binadamu atembee kilomita 63.Never!
Nyanda za juu kusini uliwaona wapi ni watu wa kujikomba?Kwa walichokifanya GSM wategemee kabisa Muha mwingine au kutoka nyanda za juu kusini kuja nae kwa miguu next derby
Anaweza kutekwa ili wampake wese.Yaani majambazi wamteke mtu ambae cha thamani alichonacho ni jezi ya yanga tu
Wewe ulikuwa unakula makamasi kwenye vipindi vya hesabu siyo?Umbali wa kutoka Kigoma kwenda Dar ni almost 1400KM
Ili ufanikiwe kutoka Kigoma kwa kukimbia inabidi at most ukimbie kwa Speed ya 5km/hr ili kumaintain stability na pumzi! Kwa maana hiyo, ili kupata mda sahihi ukichukua umbali 1400 gawa kwa mwendo 5 utapata majibu ya 280 ambayo ni idadi ya masaa kwa umbali huo mfululizo NON STOP ( Yaani hakuna kukojoa wala kula)
Masaa 280 ukichukulia alikimbia mchana NON STOP 12 Hours maana yake (280/12) ni sawa na siku 23 na masaa mawili (23.3) NON STOP
Hivyo basi, speed ya 5Km/hr kwa masaa 12 mfululizo bila kupumzika, bila kukojoa,Bila kula na kunywa, bila kuchimba dawa yaani kila sekunde na hatua, tunatarajia mtu angetumia siku 23.3 (JAMBO AMBALO HALIWEZEKANI BINADAM Kukimbia 12hrs bila kusimama)
Kama kwa gari tu ni ngumu kukimbia 12hrs pasipo kuchimba sawa, iweje kwa mkimbia kwa mguu?
Huyu jamaa kawezaje kukimbia kwa siku 22 kutoka Kigoma hadi Dar wakati kiuhalisia 12hrs NON STOP ni siku 23?
Ina maana huyo jamaa alikatiza misitu ya hatari huko Nyakanazi, na kupandisha milima pasipo KUSIMAMA 12 hours kila siku hadi atangazwe katumia siku 22?
Tunaambiwa alianza safari tarehe 15 April mchana, na kufika Dar tarehe 7 may! Amewezaje kutumia mda huo ambao ni mchache zaidi ya uhalisia?
JE, hakusimama kula, kuchimba dawa, kukojoa wala n.k Mbona sayansi inagoma?
AU NDO TUAMINI ULE MSEMO kuwa alikimbia mijini, inje ya mji alidandia maroli?
Au hii hesabu ikoje?View attachment 1782115View attachment 1782116View attachment 1782117
Kwenye mwili wa mtu...yesY
Yaelekea una kinyaa hatari.
Unaumwa ww! Unafikili kukimbia ni sawa na kulaWewe ulikuwa unakula makamasi kwenye vipindi vya hesabu siyo?
Km 1400 ukigawanya kwa siku 22 unapata km 63.3kwa siku. Inawezekana kabisa alikuwa anazimaliza ndani ya masaa 5 kwa siku na kuweza kupumzika vya kutosha. Inawezekana pia alikuwa anakimbia zaidi ya hizo kwa siku.
Hizo hesabu zako ni kama zile za Polepole kwa kweli.
Ila kusema kweli huyu jamaa alipoteza muda na nguvu zake tu kutaka umaarufu wa muda mfupi.
Estimation ya speed zako haiko sahihi. Mtu ana uwezo wa kutembea ( na siyo kukimbia) umbali wa km 10 kwa muda wa saa moja, na kwa kukimbia nadhani anaweza akaenda hadi km 25 kwa saa. Kwa masaa kumi anaweza kwenda angalau km 200-250. Kwa hiyo akitoka Dar es Salaam anaweza kupita Morogoro kwa siku moja
Mwenye rekodi ya kukimbia umbali mrefu alikimbia wastani wa km 74 kwa siku (alikimbia km 5,850 kwa siku 79) - Guinness World Records
Kwa hiyo kama dar kigoma ni km 1,400 huyo angetumia siku 19 hivi.
Kwa ultramarathoners nafikiri hii inawezekana. Dean Karnazes alikimbia 50 marathons in 50 USA states in 50 days bila kupumzika hata siku moja.
Ila kwa jamaa wa kigoma inabidi atoe details japo kidogo kutushawishi.
Mwendo wa kawaida sanaa kukimbia 8km kwa saa yaani wala hauna presha. Ki uhalisia inawezekana. Alafu kumbuka huyo jamaa wanasema ni mkimbiajiUmbali wa kutoka Kigoma kwenda Dar ni almost 1400KM
Ili ufanikiwe kutoka Kigoma kwa kukimbia inabidi at most ukimbie kwa Speed ya 5km/hr ili kumaintain stability na pumzi! Kwa maana hiyo, ili kupata mda sahihi ukichukua umbali 1400 gawa kwa mwendo 5 utapata majibu ya 280 ambayo ni idadi ya masaa kwa umbali huo mfululizo NON STOP ( Yaani hakuna kukojoa wala kula)
Masaa 280 ukichukulia alikimbia mchana NON STOP 12 Hours maana yake (280/12) ni sawa na siku 23 na masaa mawili (23.3) NON STOP
Hivyo basi, speed ya 5Km/hr kwa masaa 12 mfululizo bila kupumzika, bila kukojoa,Bila kula na kunywa, bila kuchimba dawa yaani kila sekunde na hatua, tunatarajia mtu angetumia siku 23.3 (JAMBO AMBALO HALIWEZEKANI BINADAM Kukimbia 12hrs bila kusimama)
Kama kwa gari tu ni ngumu kukimbia 12hrs pasipo kuchimba sawa, iweje kwa mkimbia kwa mguu?
Huyu jamaa kawezaje kukimbia kwa siku 22 kutoka Kigoma hadi Dar wakati kiuhalisia 12hrs NON STOP ni siku 23?
Ina maana huyo jamaa alikatiza misitu ya hatari huko Nyakanazi, na kupandisha milima pasipo KUSIMAMA 12 hours kila siku hadi atangazwe katumia siku 22?
Tunaambiwa alianza safari tarehe 15 April mchana, na kufika Dar tarehe 7 may! Amewezaje kutumia mda huo ambao ni mchache zaidi ya uhalisia?
JE, hakusimama kula, kuchimba dawa, kukojoa wala n.k Mbona sayansi inagoma?
AU NDO TUAMINI ULE MSEMO kuwa alikimbia mijini, inje ya mji alidandia maroli?
Au hii hesabu ikoje?
View attachment 1782115View attachment 1782116View attachment 1782117
Kwa mtu mvivu ni ngumu sana na kukimbia hata kilomita moja ni jambo lisilowezekana. Wewe subiri basi la shule lije kukuchukua.Unaumwa ww! Unafikili kukimbia ni sawa na kula
na ana pumzi ya kutoshaMwendo wa kawaida sanaa kukimbia 8km kwa saa yaani wala hauna presha. Ki uhalisia inawezekana. Alafu kumbuka huyo jamaa wanasema ni mkimbiaji
Hizo siku ni nyingi sanaa kama kweli alikuwa serious na safari yakena ana pumzi ya kutosha
Jamaa anashangaza sana mtu akimbie 5km tu per hour ?Hiyo speed ya 5 km per hr ni speed ya kutemba sio kukimbia