Tujifunze kutafakari: Aliyekimbia toka Kigoma alitumiaje siku 22 umbali wa 1400KM?

1400/22=63

Haiwezekani kwa siku binadamu atembee kilomita 63.Never!
Acha utani mkuu.. Nimeshawahi kutembea km 97 kwa masaa 13.. Enzi nipo O Level..
Sema siku ya pili kuamka ni kazi nzito.
Swali langu kwa jamaa yetu litabaki namna alivyoweza kumudu kumaintain kila siku masaa yasiyopungua 11 ya kukimbia/kutembea.

Lazima maandalizi yake yafanyike muda mrefu sana.. Vinginevyo lazima uwe na nauli ya malorry barabarani
 
Kwa walichokifanya GSM wategemee kabisa Muha mwingine au kutoka nyanda za juu kusini kuja nae kwa miguu next derby
 
Umbali wa kutoka Kigoma kwenda Dar ni almost 1400KM

Ili ufanikiwe kutoka Kigoma kwa kukimbia inabidi at most ukimbie kwa Speed ya 5km/hr ili kumaintain stability na pumzi! Kwa maana hiyo, ili kupata mda sahihi ukichukua umbali 1400 gawa kwa mwendo 5 utapata majibu ya 280 ambayo ni idadi ya masaa kwa umbali huo mfululizo NON STOP ( Yaani hakuna kukojoa wala kula)

Masaa 280 ukichukulia alikimbia mchana NON STOP 12 Hours maana yake (280/12) ni sawa na siku 23 na masaa mawili (23.3) NON STOP

Hivyo basi, speed ya 5Km/hr kwa masaa 12 mfululizo bila kupumzika, bila kukojoa,Bila kula na kunywa, bila kuchimba dawa yaani kila sekunde na hatua, tunatarajia mtu angetumia siku 23.3 (JAMBO AMBALO HALIWEZEKANI BINADAM Kukimbia 12hrs bila kusimama)

Kama kwa gari tu ni ngumu kukimbia 12hrs pasipo kuchimba sawa, iweje kwa mkimbia kwa mguu?

Huyu jamaa kawezaje kukimbia kwa siku 22 kutoka Kigoma hadi Dar wakati kiuhalisia 12hrs NON STOP ni siku 23?

Ina maana huyo jamaa alikatiza misitu ya hatari huko Nyakanazi, na kupandisha milima pasipo KUSIMAMA 12 hours kila siku hadi atangazwe katumia siku 22?

Tunaambiwa alianza safari tarehe 15 April mchana, na kufika Dar tarehe 7 may! Amewezaje kutumia mda huo ambao ni mchache zaidi ya uhalisia?

JE, hakusimama kula, kuchimba dawa, kukojoa wala n.k Mbona sayansi inagoma?

AU NDO TUAMINI ULE MSEMO kuwa alikimbia mijini, inje ya mji alidandia maroli?
Au hii hesabu ikoje?View attachment 1782115View attachment 1782116View attachment 1782117
Wewe ulikuwa unakula makamasi kwenye vipindi vya hesabu siyo?
Km 1400 ukigawanya kwa siku 22 unapata km 63.3kwa siku. Inawezekana kabisa alikuwa anazimaliza ndani ya masaa 5 kwa siku na kuweza kupumzika vya kutosha. Inawezekana pia alikuwa anakimbia zaidi ya hizo kwa siku.
Hizo hesabu zako ni kama zile za Polepole kwa kweli.
Ila kusema kweli huyu jamaa alipoteza muda na nguvu zake tu kutaka umaarufu wa muda mfupi.
 
Mwenye rekodi ya kukimbia umbali mrefu alikimbia wastani wa km 74 kwa siku (alikimbia km 5,850 kwa siku 79) - Guinness World Records
Kwa hiyo kama dar kigoma ni km 1,400 huyo angetumia siku 19 hivi.
Kwa ultramarathoners nafikiri hii inawezekana. Dean Karnazes alikimbia 50 marathons in 50 USA states in 50 days bila kupumzika hata siku moja.
Ila kwa jamaa wa kigoma inabidi atoe details japo kidogo kutushawishi.
 
Vile vile kuna kipindi hakujiskia vizuri - aliumwa. Movie nzima ina uchai chai.
 
Wewe ulikuwa unakula makamasi kwenye vipindi vya hesabu siyo?
Km 1400 ukigawanya kwa siku 22 unapata km 63.3kwa siku. Inawezekana kabisa alikuwa anazimaliza ndani ya masaa 5 kwa siku na kuweza kupumzika vya kutosha. Inawezekana pia alikuwa anakimbia zaidi ya hizo kwa siku.
Hizo hesabu zako ni kama zile za Polepole kwa kweli.
Ila kusema kweli huyu jamaa alipoteza muda na nguvu zake tu kutaka umaarufu wa muda mfupi.
Unaumwa ww! Unafikili kukimbia ni sawa na kula
 
Alikuwa anakimbia Kwa spidi gani?.
Estimation ya speed zako haiko sahihi. Mtu ana uwezo wa kutembea ( na siyo kukimbia) umbali wa km 10 kwa muda wa saa moja, na kwa kukimbia nadhani anaweza akaenda hadi km 25 kwa saa. Kwa masaa kumi anaweza kwenda angalau km 200-250. Kwa hiyo akitoka Dar es Salaam anaweza kupita Morogoro kwa siku moja
 
Mwenye rekodi ya kukimbia umbali mrefu alikimbia wastani wa km 74 kwa siku (alikimbia km 5,850 kwa siku 79) - Guinness World Records
Kwa hiyo kama dar kigoma ni km 1,400 huyo angetumia siku 19 hivi.
Kwa ultramarathoners nafikiri hii inawezekana. Dean Karnazes alikimbia 50 marathons in 50 USA states in 50 days bila kupumzika hata siku moja.
Ila kwa jamaa wa kigoma inabidi atoe details japo kidogo kutushawishi.

Huyu Jamaa wa Kigoma ni Muongo sana Tena Kipindi hiki cha Ramadhani!
Mtu tuu akikimbia Full Marathon 42km kwa pace ya 3-4!
Yupo hoi kesho hawezi amsha tena,
Eti Jamaa ka maintained kwa Siku 22!
Hata Kama Alikuwa anakimbia Kwa Pace ya 5 Flat siku Nzima Masaa 12!Kesho hawezi Kuunganisha Eti Pace ya 5Tena flat kwa asiku 22!
Yaani Sijui kuna watu wanajua Kukimbia ukiwa barabarani Ukifumba macho unaenda tuu!
Ndio Maana Vyombo vya Riadha (RT) wamemchunia jamaa wanajua Ni uwongo na hawezi Kuthibitisha!Eti jamaa continue Kakimbia 22days Non stop na Speed ile ile...Nasema hivi wale ambao wanasikia Mbia
Waje Dar city Marathon tarehe 23/5/2021 Mnazi Mmoja wakimbie hata 5Km ndio watajua tunaposema Kukimbia Tunamaana Gani?
 
Umbali wa kutoka Kigoma kwenda Dar ni almost 1400KM

Ili ufanikiwe kutoka Kigoma kwa kukimbia inabidi at most ukimbie kwa Speed ya 5km/hr ili kumaintain stability na pumzi! Kwa maana hiyo, ili kupata mda sahihi ukichukua umbali 1400 gawa kwa mwendo 5 utapata majibu ya 280 ambayo ni idadi ya masaa kwa umbali huo mfululizo NON STOP ( Yaani hakuna kukojoa wala kula)

Masaa 280 ukichukulia alikimbia mchana NON STOP 12 Hours maana yake (280/12) ni sawa na siku 23 na masaa mawili (23.3) NON STOP

Hivyo basi, speed ya 5Km/hr kwa masaa 12 mfululizo bila kupumzika, bila kukojoa,Bila kula na kunywa, bila kuchimba dawa yaani kila sekunde na hatua, tunatarajia mtu angetumia siku 23.3 (JAMBO AMBALO HALIWEZEKANI BINADAM Kukimbia 12hrs bila kusimama)

Kama kwa gari tu ni ngumu kukimbia 12hrs pasipo kuchimba sawa, iweje kwa mkimbia kwa mguu?

Huyu jamaa kawezaje kukimbia kwa siku 22 kutoka Kigoma hadi Dar wakati kiuhalisia 12hrs NON STOP ni siku 23?

Ina maana huyo jamaa alikatiza misitu ya hatari huko Nyakanazi, na kupandisha milima pasipo KUSIMAMA 12 hours kila siku hadi atangazwe katumia siku 22?

Tunaambiwa alianza safari tarehe 15 April mchana, na kufika Dar tarehe 7 may! Amewezaje kutumia mda huo ambao ni mchache zaidi ya uhalisia?

JE, hakusimama kula, kuchimba dawa, kukojoa wala n.k Mbona sayansi inagoma?

AU NDO TUAMINI ULE MSEMO kuwa alikimbia mijini, inje ya mji alidandia maroli?
Au hii hesabu ikoje?

View attachment 1782115View attachment 1782116View attachment 1782117
Mwendo wa kawaida sanaa kukimbia 8km kwa saa yaani wala hauna presha. Ki uhalisia inawezekana. Alafu kumbuka huyo jamaa wanasema ni mkimbiaji
 
Nadhani mtoa mada hana ufahamu na umbali kwa kilomita alizozitaja. Mtu kutembea kilomita 60 kwa siku ni jambo la kawaida sana. Kwa mfano huo mwendo wa km 5 kwa saa ni mwendo mdogo sana. Mimi huwa nikipenda natembea chini ya nusu saa kutoka ofisini hadi nyumbani umbali wa kama km 4 hivi.

Hivyo kwa mwanariadha kukimbia kutoka Kigoma hadi Dar kwa siku 22 inawezekana kabisa bila tatizo lolote.
 
Did you really believe that nonsense? Kutoka Kigoma mpaka Kazuramimba tu jamaa angeshaliwa wa Chatu.
 
Back
Top Bottom