Tujifunze kutunza kumbukumbu za members wote wanaosapoti mauaji ya halaiki.

Poker

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2016
Posts
7,349
Reaction score
21,802
Kumekuwa na wimbi la baadhi ya members kubeza juhudi za umma, kudhihaki wale wote waliouawa kikatili na na serikali iliopo madarakani.

Wanaenda mbali zaidi na kutishia members wengine kuwa chamoto watakiona, kama haitoshi wamekuwa wakipita pm za watu na kuwatishia.

Wao naona familia zao na ndugu zao wapo salama sana, na wala hawana uchungu wala chembe ya huruma kwa vifo vya watanzania wenzao.

Nashauri tutunze kumbukumbu zao maana ipo siku na saa isiyo julikana itakuwa ni zamu yao ya kulia na kusaga meno, naam nasi tutakuwepo kuwadhihaki na kuwaongezea machungu.

Japo watawala wamegoma kushusha bendera za nchi nusu mlingoti, ila mioyoni mwetu bendera zinapepea nusu mlingoti, ipo siku tutalipiza kisasi.

Tusiache kuwasilimua vizazi vyetu waone namna serikali ya ccm ilivyokuwa ikiwafanyia babu zao.
 
Nasemaje , kenge yoyote atakayekuja pm kwangu kuniletea habari za *******,nitamtafuta nimtie n kibunzi kilichoungua, yeye na hao waliomtuma
 
Mkiandamana sawa
Lakini kama ni kupora, kuvunja, kuchoma na kuvamia mali za watu, lazima mshughulikiwe sawa sawa!
 
MUNGU FUNDI..

Mlikuwa mnapora na kuchoma mali za watu..jw wakawa wanawakataza mnashupaza shingo..

nyumbu wenzio kule mwanza walijazana upepo wakaenda kiwanda cha magodoro. wakavunja na kuingia ndani wakaanza kuiba magodoro, aisee ile gesi ya kuendeshea mitambo si ikalipuka mle ndani, watu zaidi ya 50 waliungulia mle ndani

na hili hata hamlisemi. maana mtaumbuka.
 
Waandamane,lkn sio kufanya muharibifu,haileti maana,,
 
Kumekuwa na wimbi la baadhi ya members kubeza juhudi za umma, kudhihaki wale wote waliouawa kikatili na na serikali iliopo madarakani.

Wanaenda mbali zaidi na kutishia members wengine kuwa chamoto watakiona, kama haitoshi wamekuwa wakipita pm za watu na kuwatishia.

Wao naona familia zao na ndugu zao wapo salama sana, na wala hawana uchungu wala chembe ya huruma kwa vifo vya watanzania wenzao.

Nashauri tutunze kumbukumbu zao maana ipo siku na saa isiyo julikana itakuwa ni zamu yao ya kulia na kusaga meno, naam nasi tutakuwepo kuwadhihaki na kuwaongezea machungu.

Japo watawala wamegoma kushusha bendera za nchi nusu mlingoti, ila mioyoni mwetu bendera zinapepea nusu mlingoti, ipo siku tutalipiza kisasi.

Tusiache kuwasilimua vizazi vyetu waone namna serikali ya ccm ilivyokuwa ikiwafanyia babu zao.
wakitakiwa kuchomwa kuzikwa ni kuwapa heshima sana, kikawaida mtaani mwizi akikamatwa si hua anachomwa
 
Back
Top Bottom