Tujifunze nini kutoka wa Wachaga?

Hapo Namba Tisa si kweli niwatu wa dhuluma hata kuua ikibidi angalia kuna kesi maarufu inaendelea hakosikani mchaga humo. Kuhusu kusaidia si kweli labda msiba
 
Ukweli mtupu nmekaa hapo miaka mitatu.Nikag'oa mchaga na ndio master plan wangu kwenye project zangu.
Na kaka yake nipo hapa kwema shemeji? Ila hiyo avator ya son dad yake hapendi kabisa kutusikia.
 
A to Z. Pesa tu mkuu.. kwo mji wote wa moshi, umejawa na watu wanawaza pesa tu? nzuri hiyo, itawafaa sana kupiga maendeleo. lakini hawa wachaga mbona wanapenda sana, kuoa wanawake wa kinyakyusa? kuna nini hapo.
HAWANA UKABILA
 
Wana makalio makubwa
 
subili utajirike akunyongelee mbali
ingekuwa n hivyo si dunia nzma ingejua? MTU akiwa na maendeleo wapuuz badala ya kuiga mbnu za kufanikiwa mnapiga majungu, mtaishia kucheza baikoko na kulala vijumba vya nyasi hivyo hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…