Tujifunze nini kutoka wa Wachaga?

Pia nasikia nafasi nyingi za madaraka,wameondolewa
hao waliondokewa n 2% ya waliobaki
hakuna idara utakosa bosi kutoka huko
wamejaa tele achilia mbali watumishi wa kada zingine kila idara telee elimu ilifika mwanzon kule
 
A to Z. Pesa tu mkuu.. kwo mji wote wa moshi, umejawa na watu wanawaza pesa tu? nzuri hiyo, itawafaa sana kupiga maendeleo. lakini hawa wachaga mbona wanapenda sana, kuoa wanawake wa kinyakyusa? kuna nini hapo.
labda hao sio wachaga halisi n wachaga jina tu
mnyak hawez endana na chagas n mvivu anapenda stareh
 
Hapo Namba Tisa si kweli niwatu wa dhuluma hata kuua ikibidi angalia kuna kesi maarufu inaendelea hakosikani mchaga humo. Kuhusu kusaidia si kweli labda msiba
we mcheza baikoko hujui kitu
wanasaidiana sana,mfano mmoja kwenye familia akifanikiwa anawezesha wengine ndio siri ya mkoa wa Kilimanjaro kuwa wa pili kitaifa kwa watu wake kuishi maisha bora na nyumba za kisasa vijijin
 
Bila shaka ni mchaga wewe,nikajua utakuwa umejifunza ubahiri kutoka huko.
 
subili utajirike akunyongelee mbali

mamenrevy
Na ho chi minh
Mkuu,
Imebidi nicheke tu japo Taifa linapitia kwenye majonzi, huzuni, chuki na visasi kutoka ile timu ya mpira ya Bush akina kipepe kwenye gazette lilee la.zamani kidogo .

Kagame must be stopped visiting Tanzania.

R.I.P Binti Akwilina A. B
R.I.P. Diwani wa CDM, wa hapo kata moja wapo ya mkoani Morogoro.
Ndoto zenu zimezimwa ghafula kama vile mshumaa uzimwavyo!!

Daima tutawakumbuka, Kristo Yesu awape mwangaza wake wa milele. Amina.
 
I agree, nilitaka tu aiongezee kwenye list. Maana matajili wengi wa kichaga wana historia hyo. Mfano A.M, sijui walimpata?
Mkuu hiyo ni aggressiveness, kwenye Jamii yeyote iliyoendelea na yenye uchu wa maendeleo huwezi kuwakosa watu kama hao.. Unausaka utajiri kwa njia yeyote ile, dirty or clean!!

Hata wakoloni walitutesa, kutuuwa, kututumikisha na kutuibia pia ndio maana leo wako pale.. Kwa mchagga hakuna kitu inaitwa KUKATA TAMAA, alichonauwezo nacho atakifanya..
 
Nimeshangaa....dhulumati wakubwa ni nani hapa duniani?

Afuu bahili kinoma, na hawapendani wala! Mi ni mchaga
hujui chochote
wachaga wanabebana sana mchaga akifanikiwa huwa anavuta wengine
naona una roho ya husda
mchaga wakikutana mikoani wanakuwa kama watoto wa baba mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…