jenerali kibibi
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,167
- 623
maneno ya wajinga na wavivu utayajua tuUmesahau ni wezi na wapiga deal pia
mtaendelea kupanua madomo hivyo hivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
maneno ya wajinga na wavivu utayajua tuUmesahau ni wezi na wapiga deal pia
naamAsilimia kubwa ya wanawake wanaoolewa siku hizi ni wachaga.
n maoni yakoUkiowa mchaga utafurahia sana maisha mwanzoni,
Mbeleni kuna shughuri pevu hasa mkifanikiwa ki maisha.
Ukifirisika mtaishia mpaka uzeeni..
hao waliondokewa n 2% ya waliobakiPia nasikia nafasi nyingi za madaraka,wameondolewa
labda hao sio wachaga halisi n wachaga jina tuA to Z. Pesa tu mkuu.. kwo mji wote wa moshi, umejawa na watu wanawaza pesa tu? nzuri hiyo, itawafaa sana kupiga maendeleo. lakini hawa wachaga mbona wanapenda sana, kuoa wanawake wa kinyakyusa? kuna nini hapo.
marahabaaNamba 12 nilijua ni mchaga mmoja tu mwenye makidai kumbe wako wengi.
Ninachowapendea zaidi wachaga wa kiume sio wachoyo. Wanajua kutafuta na kutumia pesa. Wajomba zangu shikamooni.
uliwah dhulimiwaNamba 9 badili
nimemwambia kuwa hakuna idara utakosa boss wa hukoSi kweli
iwe nyi o marangu ?Aika sana mbekanyi oko
Ruwa Mndumi akutarame!
Nimekupa baraka ya asubuhi kwa kichaga!
sanaaWachaga wanapenda sana familia
na iwe pia MBE kanyRua akutarame
we mcheza baikoko hujui kituHapo Namba Tisa si kweli niwatu wa dhuluma hata kuua ikibidi angalia kuna kesi maarufu inaendelea hakosikani mchaga humo. Kuhusu kusaidia si kweli labda msiba
naam hata tukikutana huku mikoani tunakuwa kama watoto wa baba mmojaMarahaba.
Umesahau wachaga sio wabinafsi.
naamKaskazini ni Ulaya ya Tz
akili za kimaskini zimekutana[emoji23] [emoji23] [emoji23] ..naona mleta mada hiyo kaisahau kuiweka kwenye list
subili utajirike akunyongelee mbali
Mkuu hiyo ni aggressiveness, kwenye Jamii yeyote iliyoendelea na yenye uchu wa maendeleo huwezi kuwakosa watu kama hao.. Unausaka utajiri kwa njia yeyote ile, dirty or clean!!I agree, nilitaka tu aiongezee kwenye list. Maana matajili wengi wa kichaga wana historia hyo. Mfano A.M, sijui walimpata?
hujui chochoteNimeshangaa....dhulumati wakubwa ni nani hapa duniani?
Afuu bahili kinoma, na hawapendani wala! Mi ni mchaga