Pia nilifanikiwa kupata logic pro. Ina features nyingi kushinda garage band. Ila katika vocal transformation ndio nasumbuka hadi saivi. Coz it was easier in garage band than in logic pro. However garage band haina intensive effects.
Garage band ni kwa beginners. Ukiexport sauti huwa IPO chini. Pia huwa ni free kwa mac computers zote. Nahisi ndio sababu haipo ni professional zaidi
anhaa kwa upande wa mastering za vocals huwa natumia Cubase maana iko poa kwenye upande wa kuexport quality mkuu.. ila logic pro sijaitumia saana sababu situmii Mac Computer
Cubase iko poa sana,naikubali.
Kwa upande wa mastering za vocals huwa natumia Cubase maana iko poa kwenye upande wa kuexport quality mkuu, ila logic pro sijaitumia sana sababu situmii Mac computer
Nimefuatilia mtiririko mzima wa thread nadhani sasa nimepata jukwaa na watu muafaka wa kunifundisha muziki mpaka kuwa professional producer....
murano naomba contacts zako pm tuwasilianae kama uko dar tujuwe nawezaje kukuona ili pia nifanye set-up ya home recording studio maana ninavyo vifaa vyote mpaka mid keyboard ya korg na monitors za allesis...drum machine, sound card na mixer ndogo.
Q base inapatikana version za Mac?
yeah mkuu ipo ichukue kwenye kickass torrents
nilishawai soma kwenye mtandao mmoja kwamba kwa kutumia simu hizi za kisasa unaweza ukaingiza sauti (vocal) ukaitoa na kuifanyia mastering kwenye comp na ikawa bora kwenye nyimbo?
unaweza kunitumia hiyo app niinstall kwangu?
@ladyfurahia kama utatumia computer kwenye ishu za kurecord itakua mzuka sana. I recommend software za kuanzia nazo
install - "FL Studio 12" for beat making
Install - "Cubase 5" for audio recording and mastering..
Jinsi ya kuzitumia cheki beginners turtorial kwenye Youtube jinsi ya kuzitumia hizo softwares.
.