NullPointer
JF-Expert Member
- Feb 7, 2011
- 3,461
- 2,273
mixer ina faida nyingi moja wapo kubwa kabisa ni kupunguza noise, noise nikimaanisha sauti za pembeni ambazo hazihitajiki, kwa hiyo sauti ya mtu tu ndo inayochukuliwa kama ilivo, alafu bado sinasaidia kupunguza latency,nimeona baadhi yao wanatumia mixer sijajua inasaidia kwa kiasi gani
mtu akiwa anaimba afu sound inaingia kwenye computer ikiwa in real time yani anavoimba inasikika fasta hapohapo basi tunasema latency ni ndogo,
ila kama inasubiri hata robo sekunde manake latency yake ni robo sekunde ambayo mtu wa kawaida ataona robo sekunde ni ndogo sema ni mbaya sana inaweza ikatoa mziki mbaya sana mwisho wa siku....