EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,099
- 25,347
Ni kweli kaka.Ndo hivo mkuu siasa tunaweka pembeni mara Moja moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli kaka.Ndo hivo mkuu siasa tunaweka pembeni mara Moja moja
Vinatofautiana kulingana na aina ya kifaa kilicho angani kitakuwa na interval gani ya communication na tower za chini, kifaa hicho kitakaa umbali gani kutoka kwenye communication tower, na pia muda kitakao kaa angani, na aina ya reports zinazoletwa kama feedback ni kwa muktadha au madhumuni yapiAsante kwa bandiko elimishi mkuu.
Je kila aina ya kifaa cha angani kama ndege ,rocket, n.k ina kifaa hicho na je vifaa hivyo huwa na the same quality au quality ni tofauti kulingana na uchumi Wa kila mhitaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Changia ada sasa
Pamoja sanaShukrani kwa elimu yako mkuu,nimegain kitu kipya leo
Ndiyo mkuuMambo ya inteligence....shukran sana mkuu mleta thread
Hapana kimetengenezwa kwa material ambayo.so rahisi kuunguaMoto ukishika hakiungui?
Siyo.cheusi.ni.chekundu ila pitia uzi vema uone kwanini wamekiita cheusiHakiruhusiwi kuwa cheusi mkuu ili kipatikane kwa urahisi na kisifanane na vingine
Haina
Yes
Labda nimsaidie, taarifa huwa zinatumwa mkuu, yani safari nzima rubani huwa anakuwa anawasiliana na ground control room wanaaongoza ndege, na kila akiingia anga la nchi husika mawasiliano yanaendelea mpaka anapofika destination kama ambavyo wewe unasema.Sijasema kisiwepo, naelewa umuhimu wake ndio maana nikasema ifanyike replication nikimaanisha kifaa kiwepo lakini pia taarifa zitumwe nchi kavu/ardhini.