Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Mkapa miaka miwili tu baada ya kuingia madarakani,akaiuza NBC ya Nyerere,hili lilimtoa machozi Nyerere na akahubiri Sana kulipinga,aliowwuzia NBC wakampa 100m,hii ni 1997 zingatiaUkweli ni kuwa Nyerere alikuwa na maono, aliweza kujua nani kiongozi ambaye atatumikia wanyonge kwa manufaa ya taifa. Na nani atakuwa mpigaji.
Wapigaji wanajulikana. Mfano Jakaya alipokuwa madarakani ilikuwa ni skendo za upigaji tu. kagoda, Richmond, Escrow na sasa Dp world ya Dubai.
Hayati Magufuli na Mkapa Je? Hata ulikuwepo sio kama Jakaya na wenzake.
Je kwa nini hayati Nyerere aliwajua wapigaji? Na kwa nini aliwajua wapiga kazi kama hayati Mkapa na hayati JPM?View attachment 2904102
Ukweli ni kuwa Nyerere alikuwa na maono, aliweza kujua nani kiongozi ambaye atatumikia wanyonge kwa manufaa ya taifa. Na nani atakuwa mpigaji.

Je kwa nini hayati Nyerere aliwajua wapigaji? Na kwa nini aliwajua wapiga kazi kama hayati Mkapa na hayati JPM?KwaView attachment 2904102
Kwasababu walikuwa madikteta "UCHWARA" kama yeye....Ukweli ni kuwa Nyerere alikuwa na maono, aliweza kujua nani kiongozi ambaye atatumikia wanyonge kwa manufaa ya taifa. Na nani atakuwa mpigaji.
Wapigaji wanajulikana. Mfano Jakaya alipokuwa madarakani ilikuwa ni skendo za upigaji tu. kagoda, Richmond, Escrow na sasa Dp world ya Dubai.
Hayati Magufuli na Mkapa Je? Hata ulikuwepo sio kama Jakaya na wenzake.
Je kwa nini hayati Nyerere aliwajua wapigaji? Na kwa nini aliwajua wapiga kazi kama hayati Mkapa na hayati JPM?View attachment 2904102
Hio NBC ili nunuliwa na naniMkapa miaka miwili tu baada ya kuingia madarakani,akaiuza NBC ya Nyerere,hili lilimtoa machozi Nyerere na akahubiri Sana kulipinga,aliowwuzia NBC wakampa 100m,hii ni 1997 zingatia
Ndege hadi juzi bunge limeidhinisha fedha kuongeza ndege.Ukiondoa nyerere hao waliobaki ni wezi tu. Wakati wa Magufuli skendo zilikuwepo sana sema alibana uhuru wa habari
Kujenga uwanja chatto bila idhini ya bunge siyo skendo hiyo? Ununuzi wa ndege bila zabuni je siyo skendo ile??
Usisahau Nyerere wakati anatoka alikuwa hana hata nyumba ya kuishi walimjengea. Na alisema mwenyewe siasa yake imeshindwa. Ndio maana hii nchi hakuna elimu ni upuuz kama huu tu uliotuma hapa. Hawa wote aliotaka Nyerere watutawale wameiba au hawajaiba. Hilo ndio swaliUkweli ni kuwa Nyerere alikuwa na maono, aliweza kujua nani kiongozi ambaye atatumikia wanyonge kwa manufaa ya taifa. Na nani atakuwa mpigaji.
Wapigaji wanajulikana. Mfano Jakaya alipokuwa madarakani ilikuwa ni skendo za upigaji tu. kagoda, Richmond, Escrow na sasa Dp world ya Dubai.
Hayati Magufuli na Mkapa Je? Hata ulikuwepo sio kama Jakaya na wenzake.
Je kwa nini hayati Nyerere aliwajua wapigaji? Na kwa nini aliwajua wapiga kazi kama hayati Mkapa na hayati JPM?View attachment 2904102
Makaburu,wakaanzishaHio NBC ili nunuliwa na nani
Ukweli ni kuwa Nyerere alikuwa na maono, aliweza kujua nani kiongozi ambaye atatumikia wanyonge kwa manufaa ya taifa. Na nani atakuwa mpigaji.
Wapigaji wanajulikana. Mfano Jakaya alipokuwa madarakani ilikuwa ni skendo za upigaji tu. kagoda, Richmond, Escrow na sasa Dp world ya Dubai.
Hayati Magufuli na Mkapa Je? Hata ulikuwepo sio kama Jakaya na wenzake.
Je kwa nini hayati Nyerere aliwajua wapigaji? Na kwa nini aliwajua wapiga kazi kama hayati Mkapa na hayati JPM?View attachment 2904102
Wewe una matope kichwani,Mkapa akili kubwa, Magufuli akili matope.....alikuja kuuwa sekta binafsi zilizoendelezwa na MKAPA & JK
Kwa nn wapumbavu wanaojua kusoma na kuandika wanazidi kuwa wengi?!, huyu naye ni miongoni mwao.Ukiondoa nyerere hao waliobaki ni wezi tu. Wakati wa Magufuli skendo zilikuwepo sana sema alibana uhuru wa habari
Kujenga uwanja chatto bila idhini ya bunge siyo skendo hiyo? Ununuzi wa ndege bila zabuni je siyo skendo ile??
Uko sahihi kabisa.Mkapa akili kubwa, Magufuli akili matope.....alikuja kuuwa sekta binafsi zilizoendelezwa na MKAPA & JK
AbsaHio NBC ili nunuliwa na nani
Wewe sio TU mjinga ,Bali ni zuzu.kwa sababu mtoa mada ametaka tujadili,Sasa wewe msomi uchwara badala ya kuwapinga kwa hoja hao unaowakashifu unawatukana.Kwa nn wapumbavu wanaojua kusoma na kuandika wanazidi kuwa wengi?!, huyu naye ni miongoni mwao.
ndege zinatumika mpaka sasa na wananchi wote (hata wapinzani wanapiga selfii nazo!), uwanja huo pia ungetumika na watu wote. Hospitali nayo wanatibiwa watu wote. Tofauti ya hizo skendo nyingine walikula wahusika peke yao mwananchi hakuambulia kitu. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Between two evils choose none!Ukiondoa nyerere hao waliobaki ni wezi tu. Wakati wa Magufuli skendo zilikuwepo sana sema alibana uhuru wa habari