Tujikumbushe: Bibi Titi alivyomwaga fedha kumuua Nyerere

Status
Not open for further replies.

Kaka kinapatikana wapi hiko kitabu
 
Kama Mapinduzi Yangefanikiwa Tungekula Bata Hadi Leo Kambona Alikuwa Kichwa Mbayaaa!!
 

Kuna haja ya moderator kuwa na uwezo wa kutoa worning letter kwa watu wanaotoa maneno ya kejeli na dhihaka.
 

Swali la kujiuliza why oscar kambona aliuwawa.
Coz mjukuu wake ni frend of mine na kitu alichowahi kuniambiaga babu yake alikuwa anania ya kuipindua serikali ndio maana wakampaliza.
 

Wachaga mna hasira sana na Nyerere kwa kuwaachia laana ya kutoshika nchi kamwe. Ebu leta na history ya Maleale na usaliti wenu kwa watanganyika, alafu leo ndio mnajifanya mnauchungu na nchi. Mtaisoma namba.
 
Hii post yako nimeikubali sana. Na imejidhihiri wazi wazi bila kuacha shaka
 
....lakini pamoja na Bibi Titi na wahaini wenzie kutaka kupindua Serikali ya Mwalimu na si ajabu kumfunga Mwalimu au hata kumuua lakini Mwalimu bado aliweza kumsamehe na kuwasamehe wahaini wengine wote.
 
....lakini pamoja na Bibi Titi na wahaini wenzie kutaka kupindua Serikali ya Mwalimu na si ajabu kumfunga Mwalimu au hata kumuua lakini Mwalimu bado aliweza kumsamehe na kuwasamehe wahaini wengine wote.
Bibi titi alitumikia kifungo baadae ndio alipata msamaha wa Rais.
 
Nyerere he was a failure no wonder kulikuwa na majaribio ya kumpindua .. Socialism ni system ambayo alikuwa akilazimisha ila iligoma ..
 
Nyerere na Titi walikuwa na yao mengi na walijuana,kwenye sherehe ya miaka 75 ya Nyerere 1997,Titi alimsifia sana Nyerere na mwishoni walikumbatiana wakabusiana deeply.Hiyo picha kama naiona hivi leo.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…