Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hii kali bibi titi na IQ ndogo vile nae alitaka kujifanya MASTERMIND
Naendelea kusoma kitabu cha The Dark Side of Nyerere.Kitabu hiki kilipigwa marufuku Nchini.Lakini iliniongezea kiu kukisoma
Hadi Muda Huu Kambona amesahaulika kwenye Historia.Ipo siku atarudi kwenye Historia ya Nchi hii.
Nilitegemea Barack Obama Road iwe Kambona Road au Shanty Town Moshi iwe Oscar Kambona Streat.Osterbay iitwe Oscar Kambona Streat.Taifa haliwezi kurithi maadui wa mtu mmoja.Ni ujinga na Uzuzu.Ni laana.Tutende haki
Umeleta upande mmoja wa shillingi sasa leta na wa pili.
Mengi yameongelewa kwenye uzi huu, lakini swala la udini linatoka wapi watanzania wenzangu. Hivi hatuwezi kujadili maada bila kuweka udini? nifikiri ni wakati sasa watanzania tufikiri na tufanye mambo yetu kama watanzania na si kama waislamu na wakristo. Mbona ulaya na marekani katika utaifa wao hakuna udini? suala la dini linabaki kuwa issue ya mtu binafsi
Tujiulize, kwa utaratibu huu tunajenga tanzania ipi kwa miaka kumi ijayo.
Tafakari lifanyie kazi jambo hili
Naendelea kusoma kitabu cha The Dark Side of Nyerere.Kitabu hiki kilipigwa marufuku Nchini.Lakini iliniongezea kiu kukisoma
Hadi Muda Huu Kambona amesahaulika kwenye Historia.Ipo siku atarudi kwenye Historia ya Nchi hii.
Nilitegemea Barack Obama Road iwe Kambona Road au Shanty Town Moshi iwe Oscar Kambona Streat.Osterbay iitwe Oscar Kambona Streat.Taifa haliwezi kurithi maadui wa mtu mmoja.Ni ujinga na Uzuzu.Ni laana.Tutende haki
Naendelea kusoma kitabu cha The Dark Side of Nyerere.Kitabu hiki kilipigwa marufuku Nchini.Lakini iliniongezea kiu kukisoma
Hadi Muda Huu Kambona amesahaulika kwenye Historia.Ipo siku atarudi kwenye Historia ya Nchi hii.
Nilitegemea Barack Obama Road iwe Kambona Road au Shanty Town Moshi iwe Oscar Kambona Streat.Osterbay iitwe Oscar Kambona Streat.Taifa haliwezi kurithi maadui wa mtu mmoja.Ni ujinga na Uzuzu.Ni laana.Tutende haki
Hii post yako nimeikubali sana. Na imejidhihiri wazi wazi bila kuacha shakahao waliomkaribsha nyerere kwenye mji,kwanini wao walikaa mda wote huo bila kupata uhuru mpaka alipokuja nyerere..
Kiukweli waislam mna akili flani hivi za ajabu sana ambazo mnarithishana kizazi hadi kizazi..
Na ndiyo maana mwinyi na kikwete ndo ma-rais wanaosifika kwa kupindisha nchi wakati mkapa na nyerere wanasifika kwa kunyosha nchi..
Kambona aliuawa? Unachanganya na Kolimba,i think..!Swali la kujiuliza why oscar kambona aliuwawa.
Coz mjukuu wake ni frend of mine na kitu alichowahi kuniambiaga babu yake alikuwa anania ya kuipindua serikali ndio maana wakampaliza.
Bibi titi alitumikia kifungo baadae ndio alipata msamaha wa Rais.....lakini pamoja na Bibi Titi na wahaini wenzie kutaka kupindua Serikali ya Mwalimu na si ajabu kumfunga Mwalimu au hata kumuua lakini Mwalimu bado aliweza kumsamehe na kuwasamehe wahaini wengine wote.
Bibi titi alitumikia kifungo baadae ndio alipata msamaha wa Rais.