Tujikumbushe: Bibi Titi alivyomwaga fedha kumuua Nyerere

Status
Not open for further replies.

Dah nicholaus hapo umeongea pumba tupu..inaonekana kumbe humjui haroub wala humjui shivji..nimeamini humjui uliposema shivji nae mdini...mwanangu we hakuna kitu..pumba..nyamaza tu..uchune..
 
Dah nicholaus hapo umeongea pumba tupu..inaonekana kumbe humjui haroub wala humjui shivji..nimeamini humjui uliposema shivji nae mdini...mwanangu we hakuna kitu..pumba..nyamaza tu..uchune..

Mkuu huyu Nicholas wala usibishane nae la sivyo tafta hedex kabisa atakupasua kichwa,kwanza sasa ivi ana comment wakati bichwa limejaa viroba
 
Last edited by a moderator:

Hicho kitabu ni kwa elimu ya madrasa.
 
Acha uongo eti alikuja kutubu weka ushahidi, kina Bibi Titi ndiyo waliomsaidia Nyerere na kumpokea TANU mpaka kuwa rais wa Tanganyika.

Hizo ni chuki za Nyerere kwa wenzake waliopigania nao uhuru kina Kambona.

Kama Kambona alikuwa anataka kumpindua Nyerere si angeweza kufanya hivyo wakati wanajeshi wameasi na Kambona alikuwa waziri wa ulinzi ndiyo aliyekwenda kumficha Nyerere huko Kigamboni.
 
Last edited by a moderator:
Kweli dini ili haribu focus ya wa africa insteady kujadili mada ,na mustakabali wataifa mnaongelea midini yenu ya kimapokeo,shame on you guys! pole mleta mada,ndo jf ya sasa hiyo
 

acha umbumbu wewe..

Ni sawa na kutaka chadema wamuenzi Juliana Shonza ...
 
Last edited by a moderator:


hao waliomkaribsha nyerere kwenye mji,kwanini wao walikaa mda wote huo bila kupata uhuru mpaka alipokuja nyerere..

Kiukweli waislam mna akili flani hivi za ajabu sana ambazo mnarithishana kizazi hadi kizazi..

Na ndiyo maana mwinyi na kikwete ndo ma-rais wanaosifika kwa kupindisha nchi wakati mkapa na nyerere wanasifika kwa kunyosha nchi..
 

mwalimu nae alikuwa mkware,.
 

mkuu nisaidie nami nikipate hcho kitabu Ben Saanane
 
Last edited by a moderator:

nawewe unataka kuingia kwenye dhambi yakuzika historia ya nchi
 
Last edited by a moderator:

Kuna watu hawaelimishiki wana ujinga sugu, utajitahidi kuwaelimisha but wenyewe watabaki kukupinga tu. Moja ya sababu iliyomtia hofu kufanya kazi na Kambona ni hii uliyoielezea hapa,, aliishia kuwaza jinsi gani kambona alimudu kuzima mapinduzi yale na SHUKRANI YAKE IKAWA YA PUNDA
 

hcho kitabu kwenye mtandao kipo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…