Tujikumbushe: Bibi Titi alivyomwaga fedha kumuua Nyerere

Status
Not open for further replies.
Wala haitakusaidia kufikia malengo yako ya kisiasa.Kuwa mkweli siku zote bila woga wowote hakika utakuwa mshindi.Usithubutu kuwa mnafiki kwa lengo la kuridhisha kundi flani.Tenda haki kwa watu wote.Nyota yako inang'aa ipo siku utakuwa kiongozi mkubwa udumu sana katika ukweli na uwazi.Chunga sana.
 

Waalykum salam warahmatullah wabarakatuh. Naam akhy alhabib gombesugu nimemueka sawa huyu mwanachadema ajue matusi dhidi ya uislamu/waislamu ni kosa la jinai na anakichafua chadema yake. kanyageni ni kampeni meneja wa Ben Saanane na huyu Nicholus aka mnywa mbege ni kampeni meneja wa Dr.W.Slaa, kwahiyo matusi yao kwenye uislamu/wairlamu tunayatumia kuwatanabaisha wapiga kura waislamu Tanzania kabla hawajaipigia kura chadema wafahamu wanawapigania kinani.
Tuko pamoja maalim.
 
Last edited by a moderator:
Wanaume wote wenye hekima dunia hii ni wakware!Anza ni king David,Solomon,Bill Clinton na wengine uwajuao...Huwezi kuongoza vizuri kama unajidai mgumu utaishia kuwa gaidi tu!'Kazi na dawa!'

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Nimeipenda hii na huenda kuna kaukweli flani kiaina
 
Shariff Ritz,

Salaam.

Huyo Mag3,nafikiri uzee wake unamjia vibaya.

Lakini asikupe taabu,huyo shughuli yake niachie mimi!

Tuombe Mola hao Mods wasijekuufunga na huu mnakasha pai!? Kwi! Kwi! Kwi!

Ahsanta.

Gombesugu, naunga mkono hoja kwamba Mod asiifunge hii thread ili na mie nikukabe sawasawa!
 

Mkuu Gombesugu,ni hisia zangu kwamba kama c Sheikh Mohamed Said,basi ni mtu wa karibu yake.
Nilikuwa ninaombwa tu kuhabarishwa kwa maoni yenu.Yapata miaka 14 mwalimu hayupo,pamoja na hayo nchi ipo mikononi mwa nyinyi wenye malalamiko kila kukicha kwenye position zote kubwa labda wizara ya Ulinzi ya Nchimbi,miaka kumi ya Kikwete ingelitosha kuondoa malalamiko haya,sasa tatizo limebaki nini?Je ni kupotoshwa kwa historia tu au Kuna mengine?na kama ni historia iliopotoshwa je ina athari zipi katika muislamu wa Leo kujikomboa?na kama ni mengineyo ni yapi?
NB:uwe neutral sana,usiwe one sided katika jibu lako ikitokea ukanijibu ili nipate kuelewa zaid.
 

Huyu hawezi kukujibu kwa ustaarabu mkubwa uliouonesha! Huyu mwenzetu ngombesugu ni MDINI sijawai kuona! Lakin ngoja nitoke kazini nitulie nimkabe koo sawasawa! Nitamjibu kwa kadri ya maelezo yake na kwa viwango vile vile ama zaidi!
 
halafu changia kwa adabu, sawa?!! Kama unataka matusi nenda kule mmu kwa wenzio!

Hizo kwanini hazitakusaidia kitu bila kua na ilmu, kasome ndugu ufahamu ukweli wa mambo!

kama ningekua nimechangia matusi ningekua banned sahiv,labda unaelewa matusi kivingine..

Endlea kujua sijasoma
 
Nawashauri ndugu zangu Watanzania tufuatilie historia yetu kuhusu Tanganyika tusikubali kushikiwa akili, hauezi kusema kuwa eti Bibi Titi alitaka kumuua Nyerere, kama angetaka kumuua angefanya zamani hebu angalieni hizi picha chini hapa Bibi Titi akimsimamisha Nyerere kumtambulisha wakati huo Nyerere ajulikani.


 
Angalieni hii picha halafu mpime wenyewe mtu aliyetaka kukuua unaweza kuwa naye hivi.

 
Hii picha imepigwa kabla ya uhuru wa Tanganyika, kulia kwa Nyerere ni Bibi Titi ambaye tunakaririshwa kuwa alitaka kumuua Nyerere, hawa wazee wa Dar es Salaam, walikuwa na mapenzi makubwa sana na Nyerere waliishi naye kama ndugu yao.


 
Hii picha imepigwa kabla ya uhuru wa Tanganyika, kulia kwa Nyerere ni Bibi Titi ambaye tunakaririshwa kuwa alitaka kumuua Nyerere, hawa wazee wa Dar es Salaam, walikuwa na mapenzi makubwa sana na Nyerere waliishi naye kama ndugu yao.



Ritz Toa hoja tukuelewe,hii picha nadhani kwa Mzee Mwinjuma,Mwananyamala.Hoja ni kwamba baada ya uhuru harakati za kiislsmu zilichukua mkondo upi?na nini ilikuwa response ya serikali ya Nyerere?And swali langu nini suluhisho sasa?maana Tanzania is for every one reagardless of your religion,tatizo tunataka kuvictimize watu,mbaya zaid waliodeal na situation rightly,muwe wakweli jamani.Hakuna mahali popote Nyerere aliudidimiza uislama,amin usiamin adui mkubwa wa Nyerere ni Marehemu Oscar Kambona(RIP),na yote hii in historia yake,ipo wazi.
Tuache itikadi za kidini,tuseme ukweli,wale wote waliondesha harakati zile za Madai kabla Nyerere kujoin hakuwepo hata mmoja wa kuongoza nchi,na mapinduzi ya kipind kile yangemwacha Sykes?kwa nini binafsi baada ya kupitwa kura moja kwenye uchaguzi wa TAA uliokuwa na waislamu wengi aliaccept Nyerere awe Mwenyekiti?Tukubali tusikubali kulikuwa na njama za kumuondoa Mwl madarakani,Sasa wekeni hisia za udini pembeni tafitini ni kweli au hapana,Kisha mje na majibu ya kweli,ni -------- atakayetaa vuguvugu za uislam na harakati zake ndizo chanzo cha harakati za kudai uhuru wa Tanganyika,na je nini impact za vuguvugu hizo baada ya Uhuru,na je zilikoma au la,na kama hzikukoma nini kilitokea?Natanabahi this is a right forum for you people to tell us.
 
Hii picha picha wazee wa Dar es Salaam wakimsindikiza Nyerere uwanja wa ndege kwenda UNO mwanamke peke yake ni Bibi Titi ambaye leo tunaambia alitaka kumuua Nyerere.

 
Mkuu naona hostoria ya Tanganyika unapishana nayo, hapa siyo Mwanyamala ni Kariakoo hiyo, leta ushahidi wa haya maneno yako mkuu.

Cc; THE BIG SHOW, FaizaFoxy,
 
Last edited by a moderator:
Wanaukumbi,



Tumsome Oscar Kambona, kidogo ambaye tunaambiwa alikuwa anafanya mipango ya kumuua Nyerere.
Huyu ambaye alimuokoa Nyerere leo hii ndiyo tunakaririshwa kuwa alitaka kumuua Nyerere.
 
Kama historia yako unayotaka kutupa sio ile ya Mohammed Said na wahafidhina wenzie tuko tayari kuisikia, lakini kama ndio hiyo hiyo kaa nayo tu tushaisoma sana na haina jipya zaidi ya propaganda za kidini tu....
 
Bibi Titi Mohamed tumlinganishe na kina CUF, UDP, TLP, NCCR Mageuzi and the like!!!! Viongozi hawa na wengine wa upinzani watacheza same role aliyocheza Bibi Titi!!!!!! Ndiyo maana niliposikia CUF, CDM na NCCR Mageuzi eti wameungana wanataka maandamano hapo 10/10/2013 nilishangaa sana!!! CDM be careful!!!!
 
Angalieni hii picha halafu mpime wenyewe mtu aliyetaka kukuua unaweza kuwa naye hivi.


Alikuwa anafanya kazi yake kama afanyavyo sasa Mbatia, Lipumba, Cheyo, Marando, Zitto Kabwe , Shibuda, etc!!!! Hapo chachaaaaaa tena sana. Siku ya siku itajulikana mpinzani wa kweli ni nani?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…