Tujikumbushe Big Dogg Pose (BDP Kamili)

Simba ashafariki na drezy kachoka sana sasa hivi nadhani ni stress,pombe Kali,bangi pengine na unga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Mauza uza ahh, mauza uza mambo zigi zaga, shaghalabaghala.
Mauza uza ahh, mauza uza mambo zigi zaga, shaghalabaghala."

Au "Athumani akishalewaaa.."

Miaka ya tisini hiyo.
Ha ha ha ha asee umechanganya sana. Mauza uza hao ni Gangwe Mobb kama sikosei,Athumani ni Solid ground Family. Solid huko Yo rap bonanza sidhani kama hata kundi lao lilikuwepo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Solid G hawakuwepo Yo Rap B

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BDP ni ma bloo zangu na majiran zangu hapa kino kwakwel baadhi ya member wa group hali zao mbaya haswa DREZ yan ni kama kadata anakunywa mpaka gongo amekongoroka sana,meno ya show ya mbele 5 hamna,anaongea mwenyewe tu muda mwingi...Isssa yuko kigambon alihama kabisa Kinondon shamba,Computer aliondokaga muda sana kino sijui alipo
 
Tunaendelea kuwakumbuka
 
Sasa si umsaidie unakwama wapi??
 
Majobless sometimes tunacheza deal hatari sana.

kitambo sana
 
Wenye nyimbo zao mtuwekee wanakwetu.

Nimeukumbuka wimbo wa MWEZI WA MISUKOSUKO wa COMPUTER.
 
Duh,drez kupoteza nlionana naye muda sana
Na alikuwa yuko njwiiii
Ile video ya ya majobless unaikumbka

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…