Tujikumbushe Big Dogg Pose (BDP Kamili)

Tujikumbushe Big Dogg Pose (BDP Kamili)

..SOLID GROUND FAMILY ipi
"Mauza uza ahh, mauza uza mambo zigi zaga, shaghalabaghala.
Mauza uza ahh, mauza uza mambo zigi zaga, shaghalabaghala."

Au "Athumani akishalewaaa.."

Miaka ya tisini hiyo.
 
....natumia akili mingi sana kuvuta kumbukumbu ya Solid Ground Family kwenye jukwaa moja la Yo!Rap Bonanza na Da Young Mobb,
..ila haiji mzazi!
....Da Young Mobb ni kabla/sambamba na Sugu ujue mzazi
 
Ukisema Dar Young Mob ni kabla, sambamba na Sugu unajionesha huijui Dar Young Mob wala Sugu.

Too Proud (siyo Sugu wala Mr II enzi hizo) alikuwa member wa Dar Young Mob, hapo katoka Mbeya. Dar Young Mob ilianzishwa na washkaji wawili, Too Proud akakaribishwa alivyokuja Dar kutoka Mbeya.

Baadaye ndiyo akaenda solo na kujiita Mr. II na badaye Sugu.

Mr. II mimi nisharekodi naye Don Bosco, ila sitaenda kwenye details for reasons of anonimity.

Yo! Rap Bonanza haikufanyika mwaka mmoja, imefanyika tangu Too Proud yupo Dar Young Mob mpaka alivyoenda solo.

Na kila mwaka mtiririko wake ulikuwa kama ligi ya mtoano, inaweza kwenda awamu tatu au nne. Mpaka wakina No Name walishiriki, ilikuwa unajiandikisha tu, kama ma judge wanaona huna uwezo wanakutoa mapema tu, kwa hiyo kusema fulani hajashiriki kwa maana ya kwamba hilo ni jukwaa kubwa sana nakuona huelewi Yo! Rap Bonanza ilivyokuwa inaenda.

Mi najua kwa sababu nishashiriki, kuna wiki tulianza, halafu kuna wiki iliyofuatia nilikuwa na mitikasi sikuweza kwenda nikafikiri tutatolewa machizi wakapetesha jahazi.

Tushazunguka sana na marehemu Kim Mgomelo kwao pale Billicanas kwa nyuma, kuandaa instrumentals etc kwa ajili ya Yo! Rap Bonanza. Kim was super nice, yani jamaa alikuwa na savoir faire fulani hivi watoto wa Dar walikuwa wanaita "zungu la roho".

Yani Kim unaweza kumuambia unataka mabadiliko fulani madogo tu kwenye show, kama ikiwezekana, isipowezekana poa tu, lakini yeye atahangaika kichizi kufanikisha, ukimwambia Kim kama ni kazi kubwa potezea tu, anakataa katakata, anakwambia we must get this done right. Nilijifunza sana kutafuta kuifanya kazi vizuri kupitia kwake.

Naandika vitu nilivyoishi, enzi za Live With Purpose, Fun With Sense, Unique Sisters, Weusi Wagumu Asilia, all the way back into Raiders Posse na Kwanza Unit.

Si vitu nimesoma kwenye magazeti na kuhadithiwa au kwenda kwenye concert kuangalia, hawa watu nimeishi nao, tumekutana sana studios za Don Bosco kwa Marlon, Temeke kwa Enrico, Masaki kwa P Funk, Oysterbay kwa Master J.
 
....twende taratibu!.mosi,hoja yangu ilikuwa rahisi tu ambapo umekwepa kuijibu:ushiriki wa Solid Ground Family kwenye Yo Rap Bonanza!
..pili,Sugu hakuwahi kuwa member wa Da Young Mobb,bali ilimlazimu kuwa nao ili ashiriki mashindano!
...tatu,kuwaweka Fun With sense na WWA pamoja na Unique Sisterz nahisi unachanganya mambo!
....mengine sintoyajibia mana ni irrelevant kwa muktadha wa hoja iliyopo
 
Yote uliyoyasema hayatakuwa na maana kama hutaweka timeline.

Nimekwepa vipi kuijibu hoja yako wakati nimekwambia nilikuwapo kwenye Yo! Rap Bonanza, na jinsi ilivyofanyika, wewe ulikuwepo?

Wewe hata hujui kwamba Too Proud alikuwa member wa Dar Young Mob, alivyokuja mjini Dar kutoka Mbeya, na baada ya hapo akaenda solo?

Mengine yamewekwa kwa muktadha, muktadha ni kitu muhimu.

Na wewe huna uwezo wa kujiamulia kipi ni relevant na kipi si relavant.

Kwa sababu inawezekana unaona kitu relevant si relevant kwa sababu ya udogo wa akili yako tu.
 
...teh hee hee....jibu hoja moja tu rahisi:LINI hao Solid Ground Family walishiriki Yo! Rap Bonanza!
....halafu Usishupaze shingo kubisha kuwa Sugu hakuwahi kuwa member wa Da Young Mobb!
.......niseme nini kingine.?
 
Ukisema Dar Young Mob ni kabla, sambamba na Sugu unajionesha huijui Dar Young Mob wala Sugu.

Too Proud (siyo Sugu wala Mr II enzi hizo) alikuwa member wa Dar Young Mob, hapo katoka Mbeya. Dar Young Mob ilianzishwa na washkaji wawili, Too Proud akakaribishwa alivyokuja Dar kutoka Mbeya.

Baadaye ndiyo akaenda solo na kujiita Mr. II na badaye Sugu.

Mr. II mimi nisharekodi naye Don Bosco, ila sitaenda kwenye details for reasons of anonimity.

Yo! Rap Bonanza haikufanyika mwaka mmoja, imefanyika tangu Too Proud yupo Dar Young Mob mpaka alivyoenda solo.

Na kila mwaka mtiririko wake ulikuwa kama ligi ya mtoano, inaweza kwenda awamu tatu au nne. Mpaka wakina No Name walishiriki, ilikuwa unajiandikisha tu, kama ma judge wanaona huna uwezo wanakutoa mapema tu, kwa hiyo kusema fulani hajashiriki kwa maana ya kwamba hilo ni jukwaa kubwa sana nakuona huelewi Yo! Rap Bonanza ilivyokuwa inaenda.

Mi najua kwa sababu nishashiriki, kuna wiki tulianza, halafu kuna wiki iliyofuatia nilikuwa na mitikasi sikuweza kwenda nikafikiri tutatolewa machizi wakapetesha jahazi.

Tushazunguka sana na marehemu Kim Mgomelo kwao pale Billicanas kwa nyuma, kuandaa instrumentals etc kwa ajili ya Yo! Rap Bonanza. Kim was super nice, yani jamaa alikuwa na savoir faire fulani hivi watoto wa Dar walikuwa wanaita "zungu la roho".

Yani Kim unaweza kumuambia unataka mabadiliko fulani madogo tu kwenye show, kama ikiwezekana, isipowezekana poa tu, lakini yeye atahangaika kichizi kufanikisha, ukimwambia Kim kama ni kazi kubwa potezea tu, anakataa katakata, anakwambia we must get this done right. Nilijifunza sana kutafuta kuifanya kazi vizuri kupitia kwake.

Naandika vitu nilivyoishi, enzi za Live With Purpose, Fun With Sense, Unique Sisters, Weusi Wagumu Asilia, all the way back into Raiders Posse na Kwanza Unit.

Si vitu nimesoma kwenye magazeti na kuhadithiwa au kwenda kwenye concert kuangalia, hawa watu nimeishi nao, tumekutana sana studios za Don Bosco kwa Marlon, Temeke kwa Enrico, Masaki kwa P Funk, Oysterbay kwa Master J.
Heshima yako mkuu, Legendary
 
...teh hee hee....jibu hoja moja tu rahisi:LINI hao Solid Ground Family walishiriki Yo! Rap Bonanza!
....halafu Usishupaze shingo kubisha kuwa Sugu hakuwahi kuwa member wa Da Young Mobb!
.......niseme nini kingine.?

1996. KBC alikuwapo. Ras Pompidou alikuwepo. Ephraim Kibonde alikuwepo. Mimi nilikuwepo.

Wewe hata kuandika a straight sentence tu shida.

Unapoandika "halafu Usishupaze shingo kubisha kuwa Sugu hakuwahi kuwa member wa Da Young Mobb!" kwanza hujaeleweka unamaanisha nini. Mimi sijabisha Sugu hakuwahi kuwa member wa Dar Young Mob. Nimesema Too Proud alikuwa member wa Dar Young Mob.

Kundi ambalo hata kuli spell hujui.
 
Solid Ground Family hawajai kushiriki Yo rap bonanza acha story nyingi mkuu.
 
1996. KBC alikuwapo. Ras Pompidou alikuwepo. Ephraim Kibonde alikuwepo. Mimi nilikuwepo.

Wewe hata kuandika a straight sentence tu shida.

Unapoandika "halafu Usishupaze shingo kubisha kuwa Sugu hakuwahi kuwa member wa Da Young Mobb!" kwanza hujaeleweka unamaanisha nini. Mimi sijabisha Sugu hakuwahi kuwa member wa Dar Young Mob. Nimesema Too Proud alikuwa member wa Dar Young Mob.

Kundi ambalo hata kuli spell hujui.
...teh hee teh hee ..0na sasa!..jichagulie tusi tu mwenyewe!
 
Hawa jamaa BDP leo walikua EA Radio kwenye Planet bongo Heshima ya Bongo Flavor. Show ilikua poa sana...... Yeth lottah njoo huku upitie huu uzi utapata mengi
 
Back
Top Bottom