kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,457
- 5,893
Nature ana moyo wa ajabu mno, aliliona hilo mapema kisa yeye ana jina kubwa angetumika yeye huku waliyobaki wakisota. Hakutaka mtu apoteze kipaji chake, ndo maana akajitoa kuwapa nafasi
huyu jamaa nakumbuka enzi nipo form one 2001 alikuwa ndio kama diamond wa bongo fleva sasa hivi
Maisha hayana mfumo yani Chege nae siku hizi anaringa kabisaKati ya watu wanaopaswa kumshukuru nature ni huyu Chege maana alikua keshapoteza dira kbs haeleweki yupo manyema family au wapi akawa anamfuata nature kila aendapo.. dah maisha haya...
Jamaa aritangulia kupata u STAR nature alifuata badae
Yaap na hapo ndio Inspector alionekanaga mnafki maana wenzake walijitoa Tmk wanaume na kuanzisha TmK halisi yeye hakutoka mpaka wakamtungia wimbo wa Ndege Tunduni.
Those times when music was real.
we mshabiki umepoteza kumbukumbu inspector hajawai kujiunga tmk wanaume..
by 2001 juma nature hakuwa na nyimbo yake mwenyewe.. alitamba na kigeto geto ambayo alishirikishwa na king sepeto.. maskin jeuri alishirikushwa na manduli mob, mtulize alishirikishwa na mabaga fresh..
nature alianza tamba kwa kushirikishwa kabla hajatoa nyimbo yake mwenyewe
Ngoma inaitwa 'mzee wa busara' sio mtoto wa busara pia Inspector alishawahi kuwa TMK Wanaume Halisi lililoanzishwa na Nature baada ya kujitoa TMK wanaime family.....We jamaa muongo, lini inspector alikuwa wanaume tmk? Inspector alishirikishwa na nature mtoto wa busara remix tuu ila hakawahi kuwa kundi lingine zaidi ya gangwe mob
Life haina mwenyewe kabisaKati ya watu wanaopaswa kumshukuru nature ni huyu Chege maana alikua keshapoteza dira kbs haeleweki yupo manyema family au wapi akawa anamfuata nature kila aendapo.. dah maisha haya...
Baadae kidogo binti huyu MTANASHAATI.. ili mradi tu vina vitimie hata kama havina maana.. labda ndo sababu wakaiita rap katuni
Hahahaha unanichekesha unaposema nature ameanza kutoka kwenye featuring,....Kwa kutoka inspekta alianza kiukwelu ila kwa kukimbiza huko temeke uswahilini wenyewe wakijita walumendago by then, nature alikua mkali balaa ndo maana alikua anaombwa featuring nyingi kabla mwenyewe hajatoka..
Inawezekana mkuuMmepishana tu kuelewana
Mi mwenyewe ingawaje nilikuwa kiumeni camp (minus makundi) lakini tangu mwanzo nilijua mbele ya Darubini Kali tusingechomoka unless kuwe na figisufigisuMashindano ya Mfalme wa Rhymes, ule mtanange kila mtu alikuwa anaona Inspector Haroun anabeba. Ndio pale Mzee Mzima Sugu alipopanda jukwaani na Darubini Kali kuja kumsaidia Afande Sele. Haruna Kahena alitisha sana enzi zake
Mzee wa busara alishirikishwa tu, Asali wa Moyo ilihit ila sio level za Mtoto wa Geti kaliMzee wa Busara je? Asali wa moyo vipi mkuu?
...Kwa kumpenda mtoto wa kikhalat, bambadi mweusi uso soft usio chunusi, natural colour chotara, mrefu mng'afung'afu maji ya kunde, kenda hewani sekunde, kwao obey oysterbay masaki binti huyu mtanashati...!
!
Uso soft Mweusi, Maji Ya Kunde Kaenda Hewani Sekunde
Dah! Shikamoo toka kwako kuja kwangu inahusika asee, kumbe mdogo hivi[emoji13] [emoji13] [emoji13][QUOTE="culture gal, post: 2
Nawapenda wote tho....
Ila Nature is my best.
guess what!! At that time nilikua na miaka 11.... lol