BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,527
- 3,811
Elezea kivip nduguHUU UGONJWA NI HATARI
NIMESHUHUDIA FAMILIA YA NDUGU YANGU IKITEKEA.
[emoji1] [emoji1] eti deki kwa mdomo, umetisha mkuu.Na vitoto vya siku hizi vinavyopenda slope, kwa kudate na wadada wa bongo movie na wanavyojitia mafundi wakupiga deki kwa mdomo, sizani kama watachomoka.
Kivipi yaniAlly naye Siku hizi hasomekii
Mbona Steve Nyerere hafi?
Oh oo oo!!!Baki njia kuu alafu sikuhizi watu wanajiachiaaaa km vile ukmw haupo
Nice aliishi kabisa na JiniKwenye listi amebaki ,Steve, Alichoki, Mr Nice ....vipi jini kabula nae alikatiza kwenye mzunguko wao?
List imeongezeka mbona!Kwenye listi amebaki ,Steve, Alichoki, Mr Nice ....vipi jini kabula nae alikatiza kwenye mzunguko wao?