cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani mbonaa hatariiiiiiio siku bwan tupo mstarini[emoji23][emoji23][emoji1487]npo mimi na mwenzangu sasa utando wa buibui ukawa umepta mbele yetu,tukawa tunajionesha huku tunacheka,,kiranja alokua mbele alikua na kengeza,si akajua tunamcheka,,,alitupeleka kwa ticha tulitandikwa balaa,, mwenzangu kumbe hakupenda,akaenda kumuita dingi ake,,aseee aliporomosha mitusiiii.....to be continued,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1487]