Ryaro ryaro
JF-Expert Member
- Feb 10, 2021
- 380
- 1,170
LISSU tu Ndiye Kiboko wa CCM...Masisiem Kama anavyowahita Walikuwa Wanamwombea Mpambe Wao Nyarandu Lazaro Apitishwe Kama Mgombea Uraisi Kupitia CHADEMA ili Kazi yao Iwe Rahisi. Lissu ni Kiboko ya CCM na wao Wanaujua Ukweli huo..Hata wanaojiita Tiss wanamjua.
Ndio maana wanuogopa zaidi ya vita.
Hongera Sana mleta Mada. Ni vema Mada hii ikapewa tuzo maalum kwa ukumbusho. Pascal Mayala ameshindwa hata kutoa neno. Asante Mungu.
Jitu lishafukiwa mtu anaishiMshindi wa nini? ( Jitu Lililokimbia Nchi Yake ) Mnalishana ujinga kwa vihoja vya hovyo hovyo!
👏👏👏
Pamoja na 'ucha Mungu' na 'ujasiri' wake wote, Lissu hakohoi kwa Mbowee. Hajawahi kumkemea kwa kuwa mwenyekiti wa chama kwa miaka 20.
Badala yake, Lissu alikuwa mstari wa mbele kuhakikisha Zitto na Kitila wanafukuzwa uwanachama kwa sababu ya kumchallange mwenyekiti.
Hilo la kupigwa risasi na kupona kweli ni muujiza wa Mungu, lakini tusimkuze sana ana mapungufu yake.
Dah Nimesoma hadi nimeogopa
Hakika dunia nzima ilishangaa,mtu kapigwa risasi zote zile lakini hakufa,nadhani waliopanga na kufanya lile tukio wamebaki wachache,wengi wametangulia wao walietaka kumtanguliza kabaki
Ipo siku Itajulikana kwani Mungu alimponya Lissu na kifo kwa risasiHii mechi lazima ingeisha hivi.
Mshindwa Kama angetaka kutoa Suluhu kwenye hili pambano angepaswa kudai maridhiano lakini kushupaza shingo kumelazimisha matokeo yasiwe upande wake
Ipo siku Itajulikana kwani Mungu alimponya Lissu na kifo kwa risasi
Uandishi ulionyokavery nice post! UBARKIWE kaka
Mungu huyo huyo atafunua yaliyofichikaIpo siku Itajulikana kwani Mungu alimponya Lissu na kifo kwa risasi
Uko sahihiMungu huyo huyo atafunua yaliyofichika
he who digieth the pit shall bury in himself🤣🤣Kuhusu Jiwe na Lissu kwangu mimi Lissu ndiye mshindi...maana mwendazake kakimbilia kuzimu kamwacha lissu anadunda.
Ni kweli ulimwengu huu haujajiumba. Mchimba kaburi..kaingia mwenyewe.
Na wanaendelea kupukutika kila mtu kwa nafasi yake. Wasiposhtuka wataisha. Alianza Ben wengine wakafata.Na waliobaki waombe radhi vinginevyo dunia ina mengi mabaya ya kuwafanyia