Gucci gang
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,682
- 5,277
Dj phanter 47
Kama unamjua we like tu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kama unamjua we like tu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupo Mpk LeoHivi huyu jamaa bado yupo Radio One?
Muda sana sijasikiliza FM radio
Amekufa wiki hii mwanzoniKumbe ALIKUFA doh rest easy to him
Unakumbuka Lile shindano la kutafuta dj Bora na mshindi Anaenda USJohn Dilinga alikua Anabwembwe sana. Dizaini sound effect wimbo unaimba unatoa sauti kama unaingizwa kwenye mtungi aloo. Noma sana.
Sikuhizi radio station zimepoteza mvuto asubuhi mpaka jioni unasikia makelele ya mastori ya hao washkaji wa vijiweni hakuna tena burdan kama zamani.
Huyu kwenye kupiga Bongo Fleva hajawahi kuwa part of it.Dj Peter Mo
Master T na Mike ni kweli ndio watangazaji waasisi lakini nilifikiri huu uzi ni kwa DJs tu hao ni watangazaji. Sisi wengine tumepita generations za muziki 90s hadi sasa! Djs waliotoa mchango kwa Bongo Fleva kwa kuzipiga redioni na club wapo wengi lakini very top Tanzania ni;-Ulipaswa kuanza na Master T na Mike,wao ndio waasisi wa hilo neno bongo fleva
Pia ulipaswa uwaweke top list hawa DJ's
Boniluv
Nico track
Ni kweli kama hakuna DJ Abubakari sadick a.k.a kwafujo DJ list ni batili.Bila Abubakar Sadick Kwa Fujo list ni batili!
Alishafariki may his soul RIPHuyu alikuwa anajuwa sana
Sema mitungi tu
Ova
Sio DJNi
Ni kweli kama hakuna DJ Abubakari sadick a.k.a kwafujo DJ list ni batili.
Mafuvu ndio DJ hao wengine ni music selectorsDh lyatuu
Dj mafuvu baby
Dj dijaro alungu
Huyo nasikia walikuwa na group lao kabisa la maDJ.Kumbe majizzo alikuwa DJ !!!