..sijui huyu Mama ana maslahi gani na genge la watekaji.
..sikujua kwamba aliwakingia kifua hata kipindi kile Bashe, na Sugu, walipolalamikia utekaji bungeni.
..Na Mh.Bashe anadai yuko Waziri alimuonya kuwa asipokaa sawa anaweza kuumizwa na genge la wasiojulikana.
..sikilizeni hoja zilivyowasilishwa bungeni.
ILIVYOKUWA...
Kutoka Bungeni DODOMA, April 10, 2017, Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe alisimama kuomba kutoa taarifa kwa Naibu Spika wa Bunge akitaka Bunge lisimamishe shughuli za kawaida na kuanza kujadili matukio ya utekaji watu yanayoendelea nchini.
Bashe amesema yeye pia ameshatumiwa ujumbe wa vitisho wakimwambia kuna watu 11 akiwemo yeye watafanyiwa vitendo vibaya popote watakapokuwa, hivyo analiomba Bunge lijadili suala hilo kwa dharula kwasababu sio sawa kukaa kimya.