Tujikumbushe majibu ya Dkt. Tulia siku Bashe na Sugu walipolalamikia Utekaji na Mauaji

Tatizo lenu ndio hili kukimbilia matusi na lugha za kejeli. Dr Tulia kwenye masuala ya kisheria ni mzima kuliko mtangulizi wake Ndugai.
Kwenye bunge hili la CCM, kutofautisha kati ya Dr. Tulia A. M/Prof. Ndakidemi/Prof. S. Manya/Prof. J. Ndalichako/Pro. K. Mkumbo na Msukuma/Kibajaji/Tauhudi Nyimbo/Wanu, ni ngumu sana.

CCM wamefanikiwa pakubwa sana kutengeneza "Umungu mtu" wa mwenyekiti wake na kuwafanya wana CCM wote kuamini kuwa bila ya mwenyekiti wao, wao si kitu.

Yaani hata wasomi hawaamini kwenye "merits" zao zaidi ya kudra za mwenyekiti wa CCM, hata kwenye nafasi ya uwakilishi mwananchi anayetakiwa kuheshimiwa kwani ndiye anayepaswa kuwachagua wawakilishi anaonwa kuwa ni "kenge" tu na hao wabunge.
 
Kila spika huwa anadharauliwa kwa sababu maalum. Wapo wengi wanaoukubali uwezo wake kuzidi hizi dharau ambazo mara nyingi zinasababishwa na itikadi za kisiasa.
Bunge kazi yake kuu ni kuisimamia serikali na kutunga sheria.
Spika anayeungana na serikali na kutengeneza "iron dome" kuilinda serikali, huyo anawezaje kuwa na uwezo kweli!!???

Spika gani wa bunge hataki serikali ihojiwe wakati jukumu kuu la bunge ni kuihoji serikali!!??
 
Kwenye bunge hili la CCM, kutofautisha kati ya Dr. Tulia A. M/Prof. Ndakidemi/Prof. S. Manya/Prof. J. Ndalichako/Pro. K. Mkumbo na Msukuma/Kibajaji/Tauhudi Nyimbo/Wanu, ni ngumu sana.

CCM wamefanikiwa pakubwa sana kutengeneza "Umungu mtu" wa mwenyekiti wake na kuwafanya wana CCM wote kuamini kuwa bila ya mwenyekiti wao, wao si kitu.

Yaani hata wasomi hawaamini kwenye "merits" zao zaidi ya kudra za mwenyekiti wa CCM, hata kwenye nafasi ya uwakilishi mwananchi anayetakiwa kuheshimiwa kwani ndiye anayepaswa kuwachagua wawakilishi anaonwa kuwa ni "kenge" tu na hao wabunge.
Dr Tulia ndio bosi aliyepo madarakani wa huo muhimili, hizi nyingine ni ngonjera tu.
 
Bunge kazi yake kuu ni kuisimamia serikali na kutunga sheria.
Spika anayeungana na serikali na kutengeneza "iron dome" kuilinda serikali, huyo anawezaje kuwa na uwezo kweli!!???

Spika gani wa bunge hataki serikali ihojiwe wakati jukumu kuu la bunge ni kuihoji serikali!!??
Hauhoji tu kama upo kwenye kijiwe cha kahawa kuna taratibu zake.
 
Back
Top Bottom