Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Duh...!.Sidhani kama hii nchi itakuja kutawaliwa tena na mwanamke.
P
Duh...!.Sidhani kama hii nchi itakuja kutawaliwa tena na mwanamke.
John picha weka kwa Attach Then insert then full image.It is terrible.
Sijasema kwa ubaya mkuu.Duh...!.
P
Anayeweka kiongozi sio sisi, ni YEYE mwenyewe, uwezo wa binadamu is just to propose but God disposesSijasema kwa ubaya mkuu.
Halafu hizo dini zenyewe kwenye familia zinaweka wazi kuwa mwanamume ndo kichwa ama kiongozi.
Sasa kwenye familia kubwa kama Taifa ambapo ni muunganiko wa familia nyingi ndo mnaweka mwanamke kwa mara nyingine tena?!🤦🏾♂️
..sijui huyu Mama ana maslahi gani na genge la watekaji.
..sikujua kwamba aliwakingia kifua hata kipindi kile Bashe, na Sugu, walipolalamikia utekaji bungeni.
..Na Mh.Bashe anadai yuko Waziri alimuonya kuwa asipokaa sawa anaweza kuumizwa na genge la wasiojulikana.
..sikilizeni hoja zilivyowasilishwa bungeni.
View: https://m.youtube.com/watch?v=Y0Y24wdT9OI
Gen Z wanafanya uhuni wa kuchungulia na kudukua akaunti za mitandao ya kijamiiNasikia Bunge limewakana Wabunge wake
TumboSasa kwanini wanamtusi Gwajiboy?
Ni ngumu sana kupata watu wenye msimamo kwenye hii nchi.Cha kushangaza ukimfuata sasa hivi Bashe baada ya kupata ulaji, atasema hakuna utekaji bali kuna watu wanafanya drama!
Ni mwanasheria ambaye kivitendo anathibitisha humo bungeni tofauti na Ndugai aliyesumbuliwa na inferiority complex ya ufupi alionao.
Lazima amtetee mwajiri wake.Mwanasheria wa kukariri na kuilinda serekali.
Duuuh!!Lazima amtetee mwajiri wake.
Unatetea mwajiri badala ya kufuata sheria?Lazima amtetee mwajiri wake.
Huyo ni mwalimu wa sheria, anatetea kwa kutumia vifungu alivyovisomea chuoni.Unatetea mwajiri badala ya kufuata sheria?
Mwaka huo huo (2017) baada ya hii tahadhari, Mh.Lissu alishambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana.Bashe amesema yeye pia ameshatumiwa ujumbe wa vitisho wakimwambia kuna watu 11 akiwemo yeye watafanyiwa vitendo vibaya popote watakapokuwa, hivyo analiomba Bunge lijadili suala hilo kwa dharula kwasababu sio sawa kukaa kimya.
Tatizo lenu ndio hili kukimbilia matusi na lugha za kejeli. Dr Tulia kwenye masuala ya kisheria ni mzima kuliko mtangulizi wake Ndugai.Duuuh!!
Una elimu gani!!??
Kichwa chako kina uwezo gani wa kuchakata mambo!!??
Naamini wewe na yule mbunge "kenge" hamtofautiani.
Vyuo vyetu tunavijua boss.Huyo ni mwalimu wa sheria, anatetea kwa kutumia vifungu alivyovisomea chuoni.