Tujikumbushe Majina ya wabunge wa zamani

..msimsahau Professor.John Babtist Machunda. nadhani alikuwa mbunge wa ukerewe na waziri wa kilimo.

..pia kuna mbunge wa Ngara, akiitwa Sebabili.

..mwingine ni mbunge Rombo, Leons Ngalai.

cc: Mkandara
 
Last edited by a moderator:
Nakumbuka mleta mada anasema majina ya wabunge wa zamani:
1.Kanasia Mtenga-Moshi vijijini (Marehemu)
2.Alphonce Maskini [Rombo] (marehemu)
3.Leons Ngalai [Rombo] (Marehemu)
4.Basil Mramba [Rombo]
5.Justine Salakana [Rombo)
 
Muweka uzi hakutaja wabunge wa nchi gani. Naanza na wa kwetu Kenya:

Charles Njonjo
 
Zakaria Nchilu Madila, Samwel Luangisa,Rutagwelela, Paul Mabiti, Lupondije, Mabawa, Kinuno,Bunuma, Paul Bomani, Amil Jamal, Abel Mwanga, Ng'weshemi, Timothy Shindika, Nandonde, Kasubi.
 
E. Byeitima.............alikuwa mbunge wa Karagwe,kwa sasa ni marehemu. Mungu amlaze mahali pema peponi. AMINA
 
nakumbuka mleta mada anasema majina ya wabunge wa zamani:
1.kanasia mtenga-moshi vijijini (marehemu)
2.alphonce maskini [rombo] (marehemu)
3.leons ngalai [rombo] (marehemu)
4.basil mramba [rombo]
5.justine salakana [rombo)

mheshimiwa spika, yaani serikali inawanywesha wananchi wangu wa rombo bia chafu?
 
Sukwa Saidi Sukwa

Elinewinga

Barrongo

Huyo Sukwa Said Sukwa hana hamu kabisa na vyama vingi , maana Cuf ilivyoingia Pemba tu Habari yake Kwisha ! Sijui yuko hai au kafa kwa presha ?
 
stop being serious on every issue..most aren't in so many serious issues. My advice to you with regards to this thread is sit down, relax and enjoy a ride down a memory lane.
 
Semindu Pawa alikuwa jembe huyu, yuko hai au alishatutangulia

Hata sijui aisee.

Bora wanaofahamu habari zake waje watuambie.

Nilikuwa namsikia sana kipindi cha Msekwa , alikuwa mshiriki mzuri sana wa mijadala na mwenzake Makadara Mosi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…