Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AAAH,
Na wewe ni kabila gani nikuambie siri zako?
Ngawaiya, Cleopa Msuya. Kisanga, L. Masha, Kihiyo
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Hahahahaha! Wapi nchemba?Hamisi kingwangala
Sebastian kinyondo
nakumbuka mleta mada anasema majina ya wabunge wa zamani:
1.kanasia mtenga-moshi vijijini (marehemu)
2.alphonce maskini [rombo] (marehemu)
3.leons ngalai [rombo] (marehemu)
4.basil mramba [rombo]
5.justine salakana [rombo)
niliweka hii thread ili kujua jinsi watanzania tulivyowepesi na werevu katika maswala ya kipuuzi, hii thread lazima iweke record hapa jf.
Sukwa Saidi Sukwa
Elinewinga
Barrongo
stop being serious on every issue..most aren't in so many serious issues. My advice to you with regards to this thread is sit down, relax and enjoy a ride down a memory lane.Kujikumbusha tu majina ya wabunge inasaidia nini? Ingeleta maana kama kwa kila mbunge jimbo alilowakilisha lingetajwa
na mchango maalum wa huyo mbunge ungetajwa pia. Hiyo ndo maana ya kumkumbuka mtu. Kwa mfano mzee Chrisant Maliyatanga Mzindikaya alikuwa mbunge wa Kwela na alijulikana sana bungeni kwa mtindo wake wa 'kulipua mabomu' ie kutoa hoja nzito za kushtua! nk.
Semindu Pawa alikuwa jembe huyu, yuko hai au alishatutangulia