Tujikumbushe Majina ya wabunge wa zamani

Abbas Gulamali
 
ni ningependa sana kupata wale miamba wakuu yaani G48 kama sijakosea, wale wapinzani ndani ya Bunge enzi za mwalimu.
nafikiri kiongozi wao alikuwa Njeru Kisaka, si na uhakika kama sitta alikuwapo ndani, mwenye data - ni kujikumbisha tu sina jingine.
Marehemu Samweli Sitta kipindi hicho alikuwa ni waziri wa sheria. Kundi like lilikuwa na kina Jenerali ulimwengu, Joseph Since Warioba Njelu Kasaka nk
 
Jakaya hakuwa Dkt wakati wa ubunge wake
 
Peter kabisa,alikuwa mbunge wa kinondoni

Ova
 
William Mpiluka, Jenerali Ulimwengu, Tedy Magayane, Meja Sigela Nswima, Abdallah Namkulala, Abdallah Msakandeo, Baruti Ramiya..
 
Philip Sanka Marmo-Mbulu (kundi la G.55)
Patrick Qoro-Karatu
Matheo Qaresi-Babati
 
Halimeshi mayonga kahena aliwahi kuwa mbunge wa jimbo langu LA kigoma kaskazini now kachoka nadhani zaidi ya mbunge yeyote TZ na alihudumu vipindi 3 mfululizi. Mbizo
 
Naomba nikumbushwe mbunge wa kwanza wa jimbo la Kilolo wakuu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…