Tujikumbushe Majina ya wabunge wa zamani

Tujikumbushe Majina ya wabunge wa zamani

1. Dr. Ndembwela Ngunangwa, G55 (R.I.P) - Njombe aliondolewa kwa hila na Ana Makinda
2. Alfred Kalinjuma - Muleba Kaskazini
3. Benedict Mtungilirehi - Kyerwa
4. Ndimara Tegambwage - Muleba Kaskazini
 
Juma jamadini akukweti(naibu shika) mungu amrehem hko aliko
Mbunge huyu alikuwa mtaata. Kwenye kampeni za ubunge mwaka 2005 aliulizwa swali na mpiga kura mmoja kuhusu ubovu wa Barabara, huyu bwana akacheka sana kisha akamuuliza mpiga kura wake "wewe ndugu barabara ya nini wakati jimbo zima mimi ndiye mwenye gari?"
 
Wabunge wangu Kilombero:

Chief Abuu T Kiwanga,
Namtwanga,
Peter Leonard Kyulule,
Judge Edward Antony Mwesiumo,
Abbas Gulamali,
 
Prof. Mbwiliza, Teddy Kilenza Magayane, Frank Msati, Daniel Nzanzugwanko, Zainabu Buyogela-ni baadhi ya wabunge wa jimbo la kasulu mashariki tangu 1990s
 
Siyo musa. Ni Kilontsi Mpologomyi, alikuwa mbunge wa huko kigoma na naibu waziri wa fedha chini ya waziri profesa Simon Mbilinyi 1995-2000
Kilonsi Mpologomyi alikuwa mbunge wa kasulu magharibi, ndiyo buhigwe ya leo
 
Semindu Pawa Morogoro aijui jimbo gani...

Marehemu Mwalimu Phares Kashemeza Kabuye, mbunge mcheshi kuliko wote katika kipindi chake alikuwa anapanda basi kwenda bungeni. Alikufa kwa ajali ya basi.
 
David Zimbihile Bakanyoma,Jeremiah Bakampenja,Kalinjuma,Rutaraka,Kinyondo,Mutungirehi,Ndimara Tegambwage,Masumbuko Lamwai,Bibi Titi Mohamed,Lawi Sijaona,Dr.Walid Kabouru.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni ningependa sana kupata wale miamba wakuu yaani G48 kama sijakosea, wale wapinzani ndani ya Bunge enzi za mwalimu.
nafikiri kiongozi wao alikuwa Njeru Kisaka, si na uhakika kama sitta alikuwapo ndani, mwenye data - ni kujikumbisha tu sina jingine.
G55,Jenerali Twaha Ulimwengu,Kuwaya waya s.kuwayawaya,nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom