Tujikumbushe Majina ya wabunge wa zamani

Tujikumbushe Majina ya wabunge wa zamani

Kuna baadhi ya wabunge wa zamani (wengine washatangulia mbele ya haki) ambao kusikia au kutamka majina yao kulileta burudani ya aina yake miaka hiyo. Majina machache niliyoweza kukumbuka ni:

Kuwayawaya S. Kuwayawaya
Tuntemeke Sanga
Njelu Kasaka
Stephen Salum Nandonde
Semindu Pawa
Lepilal ole Moloimet
Benito Malangalila
Frederick Nteminyanda Fumbuka
Felix Tadeo Mwanambilimbi
Said Ngw’anangw’alu
Chrisant Majiyatanga Mzindakaya
Omar Kwaang’w
Abbas Gulamali
 
ni ningependa sana kupata wale miamba wakuu yaani G48 kama sijakosea, wale wapinzani ndani ya Bunge enzi za mwalimu.
nafikiri kiongozi wao alikuwa Njeru Kisaka, si na uhakika kama sitta alikuwapo ndani, mwenye data - ni kujikumbisha tu sina jingine.
Marehemu Samweli Sitta kipindi hicho alikuwa ni waziri wa sheria. Kundi like lilikuwa na kina Jenerali ulimwengu, Joseph Since Warioba Njelu Kasaka nk
 
Tajeni na majimbo yao.

Kwa mfano:
Mh Dr.Jakaya M. Kikwete - Chalinze, Mh. Abbas Mgumba - Kibaha, Mh. Mzee Khalfan - Bagamoyo, Mh. Abbas Gulamali - Kilombero, Mh. Semindu Pawa - Morogoro vijijini (Kusini Mashariki), Mh. Shimim Khan - Morogoro Mjini, Mh. Nicas Mahinda - Mvomera etc.
Jakaya hakuwa Dkt wakati wa ubunge wake
 
Peter kabisa,alikuwa mbunge wa kinondoni

Ova
 
William Mpiluka, Jenerali Ulimwengu, Tedy Magayane, Meja Sigela Nswima, Abdallah Namkulala, Abdallah Msakandeo, Baruti Ramiya..
 
Philip Sanka Marmo-Mbulu (kundi la G.55)
Patrick Qoro-Karatu
Matheo Qaresi-Babati
 
Halimeshi mayonga kahena aliwahi kuwa mbunge wa jimbo langu LA kigoma kaskazini now kachoka nadhani zaidi ya mbunge yeyote TZ na alihudumu vipindi 3 mfululizi. Mbizo
 
Naomba nikumbushwe mbunge wa kwanza wa jimbo la Kilolo wakuu .
 
Back
Top Bottom