Tujikumbushe Majina ya wabunge wa zamani

Halimeshi mayonga kahena aliwahi kuwa mbunge wa jimbo langu LA kigoma kaskazini now kachoka nadhani zaidi ya mbunge yeyote TZ na alihudumu vipindi 3 mfululizi. Mbizo
Namkumbuka, kilichimchosha nini? mwambie alime sana mchikichi
 
mh Sebatian Rwekiza Kinyondo( Mwenyezi Mungu amrehemu)
Mh joseph Clement Rwegasira( Mwenyezi mungu amrehemu
Mh Samwel Kassano(mwenyezi Mungu Amrehemu
Mh Zimbihile(mwenyezi Mungu amrehemu
 
 
(1)mussa mporogomi
 
Makidala Mosi-Siha, Peter Kabisa Kinondoni, Abel Mwanga-Musoma Mjini, Edward Oyombe Ayira- Tarime,
 
Maria Hibesh Hewa
Mlyambate
Felix Kijiko
 
Chrissant Majiyatanga Mzindakaya mzee wa Kwera Sumbawanga kule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…