Tujikumbushe Majina ya wabunge wa zamani

Ulikuwa mkwara tu kwani walikua wanapigania jimbo la Rombo - Mzee Mramba
 
Leonard Kaboboye, Kilontsi Mporogomyi, Njelu Kasaka, Tuntemeke Sanga

Vv
 
Manju msambya
 
Kuna huyu josephat beathus rangimbaya mhagama alikuwa jimbo la songea vijijini, miaka hiyo .watoto hawawezi kumkumhuka
 
Mwanzoni wa utawala wa Mwinyi, huyu Kuwayawaya S. Kuwayawaya alikuwa chuo kikuu akisoma sheria. Alikuwa bado anavaa suruali za pekosi, na mtindo wake ilikuwa ni shati jekundu na suluari nyekundu.
 
Kuna yule josephat beathus rangimbaya mhagama alikuwa mbunge wa songea miaka ya 80.wakati huo songea ,namtumbo peramiho na madaba kukiwa majimbo 2 tu. Songea mashariki na magharibi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…