nasubiri waje wazee wenzangu hapa watukumbushe wakati wa Spika Adam Sapi Mkwawa, na waliomtangulia.
Lumuli Alipipi Kasyupa
Meja Sigera Nswima
Ukiwaona Ditopile Mwishehe Mzuzuri
Horace Kolimba
Nang'wanda Sijaona
Jared Ghachocha
Dr Ngunangwa
Kinyondo
Prof Mbwiliza
Kinyonto
Abel Mwanga
Hawa ni wa zamani enzi za Babu Mkwawa!
- Falecy Kabuye
Tajeni na majimbo yao.
Kwa mfano:
Mh Dr.Jakaya M. Kikwete - Chalinze, Mh. Abbas Mgumba - Kibaha, Mh. Mzee Khalfan - Bagamoyo, Mh. Abbas Gulamali - Mvomero, Mh. Semindu Pawa - Morogoro vijijini (Kusini Mashariki), Mh. Shimim Khan - Morogoro Mjini etc.
Mh Juma Jamadini Akukweti, Amina Chifupa, Mohamed Chibwana, Maokola Majogo
Hapo kwa Gulamali umecheka,ni kilombero siyo mvomero.
ronaldo de lima
kingunge ngombale mwiru ( mungu amsaidie apone)