Tujikumbushe Majina ya wabunge wa zamani

Tujikumbushe Majina ya wabunge wa zamani

Erasto Mang'enya,
Dustan Kitandula,
Mussa Shekilango,
Julius Semwaiko.
 
nasubiri waje wazee wenzangu hapa watukumbushe wakati wa Spika Adam Sapi Mkwawa, na waliomtangulia.

Lumuli Alipipi Kasyupa
Meja Sigera Nswima
Ukiwaona Ditopile Mwishehe Mzuzuri
Horace Kolimba
Nang'wanda Sijaona
Jared Ghachocha
Dr Ngunangwa
Kinyondo
Prof Mbwiliza
Kinyonto
Abel Mwanga


Hawa ni wa zamani enzi za Babu Mkwawa!
 
Lumuli Alipipi Kasyupa
Meja Sigera Nswima
Ukiwaona Ditopile Mwishehe Mzuzuri
Horace Kolimba
Nang'wanda Sijaona
Jared Ghachocha
Dr Ngunangwa
Kinyondo
Prof Mbwiliza
Kinyonto
Abel Mwanga


Hawa ni wa zamani enzi za Babu Mkwawa!

Mh Juma Jamadini Akukweti, Amina Chifupa, Mohamed Chibwana, Maokola Majogo
 
Namkumbuka mbunge mmoja wa Mbeya aliitwa Yilanga Mlangalila (RIP). Aliwahi kutoa kali ya mwaka alitoa hoja bungeni eti dirisha la kukatia ticketi la Railway lipanuliwe, kwani lililopo ni dogo na unapita mkono tu.
 
Tajeni na majimbo yao.

Kwa mfano:
Mh Dr.Jakaya M. Kikwete - Chalinze, Mh. Abbas Mgumba - Kibaha, Mh. Mzee Khalfan - Bagamoyo, Mh. Abbas Gulamali - Mvomero, Mh. Semindu Pawa - Morogoro vijijini (Kusini Mashariki), Mh. Shimim Khan - Morogoro Mjini etc.

Hapo kwa Gulamali umecheka,ni kilombero siyo mvomero.
 
Philip sanka marmo, mbunge wa mbulu kwa mda wa miak 25 hadi 2o10,afu maendeleo ziro,
 
Leonard Derefa - Shinyanga mjini
Malaki Lupondije - Magu (marehemu)
Ernest Kisumo Nyanda - Busega (marehemu)
Paul Bomani - Mwanza (marehemu)
Dr. William Shija - Sengerema
 
Back
Top Bottom