Tujikumbushe Majina ya wabunge wa zamani

Tujikumbushe Majina ya wabunge wa zamani

Tumtemeke Sanga na Abel Mwanga pia walikuwepo. Nyakati hizo ilikuwa raha. Walimnyima mzee wa Msasani usingizi kipindi hicho.
mkuu kumbe upinzani ulikuwepo from those days!! leo ndani ya bunge la ccm ukifanya upinzani kidogo waitwa msaliti -- wakowapi waliohoji na kuikaba serikali koo? nakumbuka nikiwa mdogo mbunge machachari tuntemeke aliweka shilling kwenye bajeti moja na kuikwamisha kwa siku 3 mfululizo -- ikabidi mwalimu ampigie simu wayamalize!!

leo hii kina lissu wakimbana spika kidogo tu, serikali inalialia eti wakorofi/ watukutu- yaani spika na naibu wake wanatuondolea radha ya bunge wananchi tunataka bunge li-flow...nguvu ya hoja itawale yaani ni sawa na refa kupiga piga filimbi bila sababu za msingi.

nakumbuka nikiwa mdogo nilisimuliwa eti Tumtemeke Sanga (RIP), alipopata degree yake ya 7, mwalimu akamuulza "Temeke wataka kazi ipi? Tumtemeke akamjibu "kama hiyo ya kwako" ( sina uhakika ila wengi mnajua hii story)
 
Makongoro Nyerere, Charz Kabeho, Kigoma Malima, Salome Mbatia, Matheo Quares, Philip Marmo, Jakaya kikwete, Masumbuko Lamwai, Malecela, Jesse Makundi, Steven Kibona,
 
Mussa Ramadhani Kassanda (R.I.P)-Tabora KaskaziniMakolokolo Hafidhi Abdallah (R.I.P)-Tabora Kaskazini
 
[Patrick Qorro (karatu), mateo Qaresi (babati), Philip Marmo (Mbulu), Njelu Kasaka (Lupa)] hivi vichwa vilikuwa vinatisha dodoma. Pia Joseph Side Warioba, njelu Kasaka.
 
Kuna baadhi ya wabunge wa zamani (wengine washatangulia mbele ya haki) ambao kusikia au kutamka majina yao kulileta burudani ya aina yake miaka hiyo. Majina machache niliyoweza kukumbuka ni:

Kuwayawaya S. Kuwayawaya
Tuntemeke Sanga
Njelu Kasaka
Stephen Salum Nandonde
Semindu Pawa
Lepilal ole Moloimet
Benito Malangalila
Frederick Nteminyanda Fumbuka
Felix Tadeo Mwanambilimbi
Said Ngw’anangw’alu
Chrisant Majiyatanga Mzindakaya
Omar Kwaang’w
Walileta mchango gani katika taifa hili hawa watu?
 
ni ningependa sana kupata wale miamba wakuu yaani G48 kama sijakosea, wale wapinzani ndani ya Bunge enzi za mwalimu.
nafikiri kiongozi wao alikuwa Njeru Kisaka, si na uhakika kama sitta alikuwapo ndani, mwenye data - ni kujikumbisha tu sina jingine.
alikuwa tuntemeke sanga nafikiri
 
[Patrick Qorro (karatu), mateo Qaresi (babati), Philip Marmo (Mbulu), Njelu Kasaka (Lupa)] hivi vichwa vilikuwa vinatisha dodoma. Pia Joseph Side Warioba, njelu Kasaka.
marmo hapana wengine ndio
 
Kuna mwanamama anaitwa Anna Abdalah! toka baba yangu anamchumbia mama bado yuko kwenye hii serikali! naombeni kujua umri wa kustaafu ni miaka mingapi?
 
Athumani Janguo, Albert Nachunga, Gadi Nnayahe, Dr. Alex Harid Mtavala, Hadija Kusaga, Lawrance Gama
 
Back
Top Bottom