Tujikumbushe penzi la Juma Nature na Sinta

Tujikumbushe penzi la Juma Nature na Sinta

Sitakuja kukisahau hiki kichwa cha habari kwenye gazeti la shigongo " SINTA, DANDU DENDA NJE NJE KWENYE VIDEO" [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwenye picha ya sinta jinsi alivyo ss atuwekee maana wengine tumeshamsahau.
SINTA (1).jpg
sinta.jpg
sinta 3.jpg
 
Nora usimsahau
Norah alikuwa habari nyingine enzi zile anaigiza na Dr. Cheni, zile swaga zake za kuongea kimahaba sasa daaah. Sema alikuja kuharibika alipoanza kutoka na waganga wa kienyeji[emoji23] , na alivyonenepeana mashavu ndio ikawa kwisha habari yake ule urembo wote ukatoweka. Kumbukumbu zangu zinanionyesha Norah alianza kusumbua kwenye headline za magazeti ya udaku (Kiu na Ijumaa) kabla ya Sintah, sema Sintah alikuja kumpiku baada ya kiki za kuimbwa na Nature kwenye hits zake 2 'Sitaki Demu' na 'Inaniuma sana' baada ya kutemana naye. Kweli Old is Gold, ipo siku na kina Wema watakuwa si lolote tena maana warembo wanazaliwa kilasiku
 
ENZI HZO MADEMU WALIOKUWA WANATIKISA MJINI

1. Johari
2. Sinta
3. Norah
4. Nancy sumari
5. Ray C (huyu ray c kiukweli watu wamemparamia sana, hapa ndipo naamin papuch haikomoleki, maana mapromota wanamchukua, wanamlipa then wanampa na kishka uchumba, kiuno kinaachiwa.. Enzi hzo yupo na mwisho mwampamba wa BBA)
Johari ni kizazi cha juzi tu hapa, wahenga ni kina Sinta,Nora,Monalisa,RayC,n.k
 
Norah alikuwa habari nyingine enzi zile anaigiza na Dr. Cheni, zile swaga zake za kuongea kimahaba sasa daaah. Sema alikuja kuharibika alipoanza kutoka na waganga wa kienyeji[emoji23] , na alivyonenepeana mashavu ndio ikawa kwisha habari yake ule urembo wote ukatoweka. Kumbukumbu zangu zinanionyesha Norah alianza kusumbua kwenye headline za magazeti ya udaku (Kiu na Ijumaa) kabla ya Sintah, sema Sintah alikuja kumpiku baada ya kiki za kuimbwa na Nature kwenye hits zake 2 'Sitaki Demu' na 'Inaniuma sana' baada ya kutemana naye. Kweli Old is Gold, ipo siku na kina Wema watakuwa si lolote tena maana warembo wanazaliwa kilasiku
Ng'wizukulu Jilala alifaidi
 
Wooooozaaaaa sitaki dem
Walimwengu waliniambia kuwa dem wng mim hafai
 
Kwenye ngoma inaitwa Taswira yumo Dojo, Domo na Inspecta kuna mstari unasema..

"..namuona Juma Nature ufukweni namuona Sinta,

Namuona P Diddy analilia penzi la Jenifa..."
Yeraaaaa bonge la ngomaaa
 
Na alifunika pia kama aliposhilikishwa na juma kakere kwenye safari
 
Nyi ndo unaingia jukwaa la vichekesho naanza kusema eti hivi viwanda vitajengwa kweli mkuu acha tabia ya kujisaidia haja kubwa sebureni nenda jukwaa sahihi la chooni
[emoji23] [emoji23] [emoji119]
 
Johari ni kizazi cha juzi tu hapa, wahenga ni kina Sinta,Nora,Monalisa,RayC,n.k
True johari wa juzi kati tu alikuepo nina,nana mwenye vidompozi (wa bambo)...ebwana kaole ilikua na watoto wazuri kinoma.
 
Ng'wizukulu Jilala alifaidi
Doh!M/MUNGU amrehemu..kweli zama zimebadika enzi hizo pesa zetu ziliishia kwenye magazeti sasa hivi MB..Ilikua lazma tununue gazeti la HAMU kupata udaku wa kina Aisha,Waridi,Nana,Nina,sinta,Cathy na Dokii.
 
Demu alikuwa Norah bana!!..chaputa moro tulikua vizuri!.

Weeeeee hakumzidi Nina
Kwa kifupi mademu wa Kaole na Mambo hayo ndo walikuwa mastaa wa kipindi kile , Cathy, Nina ,Nora, Sandra, Mainda, Johari, Nyamayao, Tabia wa Jengua nk wengine wataje nimewasahau
 
[QUOTania wa myetu, post: 25985352, member: 241303"]Weeeeee hakumzidi Nina
Kwa kifupi mademu wa Kaole na Mambo hayo ndo walikuwa mastaa wa kipindi kile , Cathy, Nina ,Nora, Sandra, Mainda, Johari, Nyamayao, Tabia wa Jengua nk wengine wataje nimewasahau[/QUOTE]
Ivi tabia binti kikojozi yupo nchi hii??zawadi,koleta,Maya nk
 
Back
Top Bottom