Tujikumbushe shangwe zilizotawala kufurahia jaribio la kuiteka na kuua waisrael wote (river to sea) October 7, Leo hii vilio vimewageukia wao

Sikuwa na haja ya kusoma maana umeandika UPUUZI NA UONGO MWINGI.
Hamas kufanya toofan Aqswa kuanzia oktoba 7 2023 hawakulenga kuua waisrael wote.Hii kitu ifute akilini mwako usidanganye kiasi hiki.
Hamas ilivamia kusini mwa Israel kwa sababu zifuatazo;
1)Kuzuia mashambulizi yaliokua yakifanyika West bank ya walowezi wa kiyahudi dhidi ya mabedui kwa kuwavunjia nyumba na kuwaharibia mashamba huku wakisaidiwa na IDF,na hili tukio lilianza kufanyika tangia mwezi Julai.
2)Kutaka mabadilishano kwa ajili ya kuwakomboa watoto wa kipalestina ambao kila mwaka Israel hukadiriwa kukamata watoto 300-400 walio chini ya umri wa miaka 14 na kuwaeka jela ya jeshi kwa kisingizio ni tishio kwa usalama wa Israel,mtoto miaka 14 kwenda chini analeta tishio gani?Ndio maana UN human rights watch ilitoa ripoti kuwa Israel ni taifa pekee duniani kuwa na ukatili kwa watoto kwa kuwaeka jela za watu wazima tena jela za jeshi.
3)Kuzuia Gaza blockade and expansion,Gaza ukuta ulikua unataka kusogezwa zaidi na blockade kuongezeka ardhini na majini kiasi mpaka wa maji watu wa Gaza waliokua wanaruhusiwa kuutumia ni wa kuogelea tu hata wa kuvua samaki hautoshi.Bereta zilifungwa juu ya ukuta ku monitor Gaza,Gaza ilizidi kuwa gereza lililo wazi.
4)Kuzuia expansion of jewish settlements huko Ramallah na Jenin West bank.

Hamas haikukusudia kuua raia wote wa Israel kama udaivyo,acha udini na acha ufala wa kuokoteza propaganda za uongo.
Hamas walishasema ili amani ipatikanike Israel iache ukandamizaji na Palestina iwe nchi huru.
Hivi una habari kuwa kila mwaka nyumba sio chini ya 100 huvunjwa za WaPalestina ili kutanua makazi ya walowezi wa kiyahudi!?
Je ungelikua wewe ungekaa kimya!?

Fala kabisa wewe,wewe mpumbavu wastahili kutusiwa sio mjinga ambae anastahili kufunzwa.
 
Mimi mpaka leo nadhania kwa walichofanya Hamas ulikuwa mpango wa mossad kuimega zaidi Gaza. Hii Gaza miaka mia sithan kama kutakuwa na nchi palestina
 
BADO sijaridhika na majibu y
 
Bado sijaridhika na hayo majibu ya Israel ,. Inaniuma SANA kuona Bado magofu yakiwa yamesimama na Bado Kuna watu wapo hai hapo Gaza.😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😩😩😩😩😩

Kifupi walitakiwa wapewe Sumu WOTE wafe na hayo magofu yoote yashushwe chini yawe mchanga tupu NAUMIA sana Israel haijatenda haki kabisa. Kuacha hayo magofu yanini???????????? Ili aje Aishi nani????😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
 
Ila Israel imefanya ukatili mbaya sana, ukatili huu ni mbegu za harakati zaidi kwa Palestine kudai taifa huru. Vita sio muafaka ya mgogoro huu wanaweza kushinda leo lakini hawataweza kuipata amani mpaka siku litakapoundwa taifa huru la Palestine.
Hivi vita sio vya kidini kama waswahili wanavyodandia na kupandikizana chuki.
 
Povu ruksa,
 
Matusi ya nini Maalim?
 
Jerusalem Israel wamepewa toka zamani.
Na katika mipaka ya 1947 Jerusalem ilikua ndani ya Israel.
Ila wao wanataka ardhi mpaka isiyowahusu.
Gaza ndio Jerusalem??
Gollan heights ndio Jerusalem?
Shebah farms ndio Jerusalem!?
Taratibu shekhe,
Kwani al-Aqsa si ipo ndani ya Jerusalem?!
 
Ukingo wagharibi haupo chini ya Hamas.
Na hayo mengine uliyoyaandika sosi ni kichwa chako tu sawa na hamas kutaka kuzuia upanuzi wa israeli ndani ya ukingo wa magharibi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…