OCTOBER 7.....
Raia wa Israel waliotekwa wakiingizwa Gaza, wapalestina wameachiwa wawapige kama sehemu ya kusherekea
View attachment 2977589
Mitaa ya Gaza waplestina wakifurahia jaribio lilioanza la kuisafisha israel
View attachment 2977582te
Shangwe mitaa ya London, Uingereza
View attachment 2977575
Fataki zilipigwa huko Iran
View attachment 2977577
Iraq
View attachment 2977578
Kahawa ya bure mitaani na pipi kusherekea kuanza kwa zoezi la kuiteka Israel
View attachment 2977581
ISRAEL IKAJIBU
Israel ilianza kwa kuwaambia wapalestina wote waondoke Gaza ya Kaskazini ili wapigane uso kwa uso na magaidi wa Hamas japo ilichukua muda kukamilisha zoezi sababu Hamas hupenda kutumia raia kama ngao,
Hata nchi jirani za kiarabu kama Misri ziliwafungia mipaka wapalestina wapambane na hali yao ! .
Vita ikaanza, Israel ililenga zaidi kulipua mahandaki ambayo hujengwa chini ya mitaa
View attachment 2977755
Mataifa ya nje yaliingilia kati na kuomba maridhiano ya kusitisha vita, vilidumu basi !! Hamas akaanza kushambulia upya ndipo Israel akaapa muda huu atatoa Disiplin hakuna mfano
Muda huu Israel alienda kazini, magaidi wa Hamas wakaanza kujisalimisha
View attachment 2977747a
Navyosema Israek aliingia kazini tuelewane, hii ni Gaza kwa sasa, inakadiriwa itachukua miaka zaidi ya 10 kuondoa vifusi.
View attachment 2977742
Kwa sasa vilio vya wale waliofurahia October 7 vimetawala, maandamano kila kukicha kuwabembeleza Israel kwamba "Imetosha", wengine kuilalamikia Israel, n.k.
View attachment 2977756