Aiseeehh umenikumbusha huyu bwana Rashid Matata alikuwa na kigugumizi cha hatari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dada yake alikuwa ametenga mzigo wa haja [emoji39][emoji39][emoji39]
Kina Saidi Minandu,Marinda,Saidi bonge,Kheri (dogo alikuwa anaupiga mwingi sana na kichwani alikuwa vema pia),mapacha niliowazungumzia ni wale wa msufini pale uwanjani,hao kina Hendrick walikuwa wanachezea sana White Star........
Mimi nimezaliwa na kukulia pale mtaa wa Bakule bar ya zamani iliyo karibu na Kamanyola bar..............