TUJIKUMBUSHE: Timu Maarufu za Ndondo kutoka mitaa yetu

TUJIKUMBUSHE: Timu Maarufu za Ndondo kutoka mitaa yetu

Akina mkude wenyewe wakawa walevi, wakawazaa watoto kama akina Amani george, kina lau wakaanza toka.Sema msisiri walipokulia malaya, pombe, kamari vikawapoteza.
Hivi LAU yupo wapi nowdays?????maana mara ya mwisho nilimuona Villa squad akapote mazima

Amani masikio ,pombe zimemharibu....
Hawa jamaa walikuwa hatari katika chandimu wakiongozwa na jona
 
Igumila ndo kwetu na ndio waliharibu vipaji vingi sana na wanawake wa pale wanagawana, majukumu kama kombania.Wamama na wasichana wao wanapokezana.Mpaka wazimalize zote.
Aiseeeeehhhhh wewe ni homeboy kabisa,kulikuwa na upinzani wa WHITE STAR ya igumila na CAMEROON ya msisiri ya mapacha kina kimwazimwazi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mmekumbuka zamani sana ligi za mbuzi.....
 
Amani George aliacha mapema shida sijui nini labda kwakua kaka aliyekua US alimshauri ila aliacha wakati alishaanza kuwa na jina maana ni kipindi kile kile alikua mfungaji bora taifa cup,huyu Lau alikua anaujua sana sema mkorofi sana mechi za uswahilini lazima agombane

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Lau mbona alikuwa mpole sana,

Amani alijiingizankatika pombe kali zikampoteza,

Kuna golia alikuwa akiitwa Bambino jamaa alikuwa nusu nyani nusu mtu
 
Huyu Amini mwinyimkuu alikua anaujua sana na alikua maarufu kwenye mpira msisiri nzima sema akaamua kuchagua mziki zaidi

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Sisi tulikuwa tunamuita Nduli[emoji1787][emoji1787][emoji1787]alikuwa fundi sana nafikiri kipaji cha mpira kilikuwa juu zaidi ya muziki ila ndio hivyo ...yupo poa sana kijana
 
Hii shoka ni timu ya wapi?
Shoka FC ilikuwa likuwa timu ya msisiri A kule magengeni kulipokuwa na madrasa za Tawfiq na Tarbia kwa kina RASHID ROSHWA nae alibahatika kucheza ligi kuu

Hii SHOKA FC miaka ya 90 ndio ilikuwa timu pinzani na NONDO FC ya mwananyamala msisiri B
 
Sisi tulikuwa tunamuita Nduli[emoji1787][emoji1787][emoji1787]alikuwa fundi sana nafikiri kipaji cha mpira kilikuwa juu zaidi ya muziki ila ndio hivyo ...yupo poa sana kijana
Ndio jina lake hilo nduli,Robert.alikua anachezea timu ya watotonwa kota nyuma ya shule ya msingi kinondoni,Mapacha wale wa Cameroon Erick na Hendrick unawazungumzia,Bambino alikua anadaka sana kacheza sana ndondo bila kumsahau Sheikh MOI katufundisha sana pale msikiti wa TAQWa angalau alikuja kimkakati na chama kile cha siasa ila alikusanya vijana

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
 
Aiseeeeehhhhh wewe ni homeboy kabisa,kulikuwa na upinzani wa WHITE STAR ya igumila na CAMEROON ya msisiri ya mapacha kina kimwazimwazi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mmekumbuka zamani sana ligi za mbuzi.....
Sawa sawa akina matata, Mimi ni nduguye na joker.(Evance mkunyugu)
 
Hivi LAU yupo wapi nowdays?????maana mara ya mwisho nilimuona Villa squad akapote mazima

Amani masikio ,pombe zimemharibu....
Hawa jamaa walikuwa hatari katika chandimu wakiongozwa na jona
Siko pale tena ila nilimwona mara moja akiwa msela mavi.
 
Huu Uzi umenisisimua sana Huwa nikikanyaga ardhi...

Kitu pekee ambacho ningekifanya Kwa uraisi ni mpira wa miguu....

Free kick na penalty ni eneo nililo train hard mm kwangu ilikua ni kuwapa fedheha timu pinzani...
Hahaaaa kuna mmoja tulicheza naye akitokea Town Stars ya Pale Wami Dakawa yeye alikuwa anaitwa Salum "Kona Goli" yeye alikuwa anatumia mguu wa kulia. Kila akienda kupiga kona upande wa Kushoto ujue ni Goli. Mimi nilikuwa napiga free kiki matata sana. Hata ukuta ukae hatua tano au sita nilikuwa nauvusha mpira juu ya ukuta na ni lazima iwepo kunyavu. Huwa naangalia timu zetu zinavyopoteza nafasi za magoli kwa free kiki huwa nawaambia wanangu, ningekuwa mimi hizi nafasi zote ni magoli.
 
1. Omar kaliki (gaucho) mpk Sasa atabakia kua Bora hapa Tz Kwa walio wai mshuhudia ....
2.Dizo Huyu alikua na matege Huyu alikua na kipaji Cha kipekee sanaaa...
3.Babudinyo Huyu Kwa Sasa ni mwalimu alipewa jina Babu dinyo waki maanisha Huyu jamaa ni gaucho anajulikana kagasheki cup
4. Nokia Huyu anajulikana kagasheki cup
5.

List ni ndefuu
 
Back
Top Bottom