Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Nondo fc
Mwananyamala hiyo
Mwananyamala hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Igumila ndo kwetu na ndio waliharibu vipaji vingi sana na wanawake wa pale wanagawana, majukumu kama kombania.Wamama na wasichana wao wanapokezana.Mpaka wazimalize zote.Mtaa wa igumila ulikuwa na mademu wakali aiseeeeehhhh dah
Wayege fc,Gungu rangers bila kusahau fc Congo za kigomaKama Mada Inavyosema.
Mimi nimekulia Morogoro na nimecheza sana ndondo miaka ya late 1990's na 2000's nikitokea timu ya Ghetto Boys ya Mvomero.
Katika makuzi yetu tulikuwa tunacheza sana ndondo huko Mvomero na Moro kwa Ujumla na katika mashindani ya Kiwilaya na Mkoa tulikuwa tunakutana na timu za Wilaya nyingine au mikoa mingine pale uwanja wa shujaa Morogoro Mjini.
Timu nyingi zilitoa wachezaji wa iliyokuwa ligi daraja la Kwanza sasa Ligi Kuu mfano Reli, Moro United, Mtibwa Sugar n.k za Moro na nyingine nyingi za nje ya Moro kama Prisons, AFC, Simba na Yanga n.k.
Wachezaji maarufu wa Ndondo ambao binafsi nimewashuhudia na kimsingi walikosa njia nzuri tokana na "Zama za giza tulizokuwa tunacheza na kizazi," ila wangekuwa wachezaji bora nchini na duniani kama wangecheza sasa ni kama wafuatao:
1. David Izengo-Toka timu ya Magereza huyu kwangu mimi ni mchezaji bora kumshuhudia kwa macho yangu nchini sema zama alizokuwa ziliua kipaji chake akaja cheza Prison. Hapa "Triple C" hamfikii.
2. Paul Mokiwa alicheza reli Morogoro na baadaye Prison ambapo alipata majeraha na kuacha kucheza Mpira.
3. Ramadhani Lundenga. Alikuwa ndugu na Hashimu Lundenga na alikuja chezea Yanga B.
4. Abu Ramadhani alikuja chezea Yanga.
5. Salum wa Gheto Boys ya Mvomero
6. Mimi Jimmy Gatete a.k.a mungu ya Magoli toka ghetto boys ya Mvomero.
7. Kipa Maarufu wa Ndondo Yusuph Dezo toka Timu ya Kishingo ya Dakawa pale alikuwa anampiga mikwara Kaseja kuwa yeye Kaseja ni "Tanzania 2" mbele yake naye ni "Tanzania 1" ila mfumo tu umembeba.
Timu maarufu za Ndondo Moro ninazozifahamu na tulizokutana nazo kwenye michuano mbalimbali ni:
1. Jamaica ya Moro Mjini.
2. Young Boys ya Mikese.
3. Jiwe ya Dumila.
4. Ghetto Boys na Asec za Mvomero.
5. Burkina ya Moro Mjini.
6. Kulikuwa na timu moja ya Kihonda waliyokuwa wanachezea akina Ulimboka Mwakingwe, Jumanne Shengo Tondoro na akina Kaseja siikumbuki vizuri.
7. Kulikuwa na timu moja toka turiani iliyokuwa ina wachezaji toka mtibwa kipindi hiko akina Mkangwa, salhina mjengwa, Zuberi Katwila, Mecky n.k
Je, wewe unaikumbuka timu gani maarufu ya ndondo ya mtaani kwenu na wachezaji maarufu waliokuwa wanaichezea?
Nakumbuka Dar walikuwa na Abajalo ya Sinza waliyocheza akina "Kali Mangonga Ongara Mbele kwa Mbele."
Hahsaa, unawapata hao jamaa. Walikuwa moto kweli. Sijui wameishia wapi siku hizi.Hao Young Boys walikuwa wanapiga mpira hatari. Niliwashuhudia siku moja. Anyway, nilipenda battle la Bomu na Ashanti japo mi nilipenda siku ikicheza Sifa Politan na Kagera Rangers.
Wajelajela FcKama Mada Inavyosema.
Mimi nimekulia Morogoro na nimecheza sana ndondo miaka ya late 1990's na 2000's nikitokea timu ya Ghetto Boys ya Mvomero.
Katika makuzi yetu tulikuwa tunacheza sana ndondo huko Mvomero na Moro kwa Ujumla na katika mashindani ya Kiwilaya na Mkoa tulikuwa tunakutana na timu za Wilaya nyingine au mikoa mingine pale uwanja wa shujaa Morogoro Mjini.
Timu nyingi zilitoa wachezaji wa iliyokuwa ligi daraja la Kwanza sasa Ligi Kuu mfano Reli, Moro United, Mtibwa Sugar n.k za Moro na nyingine nyingi za nje ya Moro kama Prisons, AFC, Simba na Yanga n.k.
Wachezaji maarufu wa Ndondo ambao binafsi nimewashuhudia na kimsingi walikosa njia nzuri tokana na "Zama za giza tulizokuwa tunacheza na kizazi," ila wangekuwa wachezaji bora nchini na duniani kama wangecheza sasa ni kama wafuatao:
1. David Izengo-Toka timu ya Magereza huyu kwangu mimi ni mchezaji bora kumshuhudia kwa macho yangu nchini sema zama alizokuwa ziliua kipaji chake akaja cheza Prison. Hapa "Triple C" hamfikii.
2. Paul Mokiwa alicheza reli Morogoro na baadaye Prison ambapo alipata majeraha na kuacha kucheza Mpira.
3. Ramadhani Lundenga. Alikuwa ndugu na Hashimu Lundenga na alikuja chezea Yanga B.
4. Abu Ramadhani alikuja chezea Yanga.
5. Salum wa Gheto Boys ya Mvomero
6. Mimi Jimmy Gatete a.k.a mungu ya Magoli toka ghetto boys ya Mvomero.
7. Kipa Maarufu wa Ndondo Yusuph Dezo toka Timu ya Kishingo ya Dakawa pale alikuwa anampiga mikwara Kaseja kuwa yeye Kaseja ni "Tanzania 2" mbele yake naye ni "Tanzania 1" ila mfumo tu umembeba.
Timu maarufu za Ndondo Moro ninazozifahamu na tulizokutana nazo kwenye michuano mbalimbali ni:
1. Jamaica ya Moro Mjini.
2. Young Boys ya Mikese.
3. Jiwe ya Dumila.
4. Ghetto Boys na Asec za Mvomero.
5. Burkina ya Moro Mjini.
6. Kulikuwa na timu moja ya Kihonda waliyokuwa wanachezea akina Ulimboka Mwakingwe, Jumanne Shengo Tondoro na akina Kaseja siikumbuki vizuri.
7. Kulikuwa na timu moja toka turiani iliyokuwa ina wachezaji toka mtibwa kipindi hiko akina Mkangwa, salhina mjengwa, Zuberi Katwila, Mecky n.k
Je, wewe unaikumbuka timu gani maarufu ya ndondo ya mtaani kwenu na wachezaji maarufu waliokuwa wanaichezea?
Nakumbuka Dar walikuwa na Abajalo ya Sinza waliyocheza akina "Kali Mangonga Ongara Mbele kwa Mbele."
Amani George aliacha mapema shida sijui nini labda kwakua kaka aliyekua US alimshauri ila aliacha wakati alishaanza kuwa na jina maana ni kipindi kile kile alikua mfungaji bora taifa cup,huyu Lau alikua anaujua sana sema mkorofi sana mechi za uswahilini lazima agombaneAkina mkude wenyewe wakawa walevi, wakawazaa watoto kama akina Amani george, kina lau wakaanza toka.Sema msisiri walipokulia malaya, pombe, kamari vikawapoteza.
Huyu Amini mwinyimkuu alikua anaujua sana na alikua maarufu kwenye mpira msisiri nzima sema akaamua kuchagua mziki zaidiAkina mkude wenyewe wakawa walevi, wakawazaa watoto kama akina Amani george, kina lau wakaanza toka.Sema msisiri walipokulia malaya, pombe, kamari vikawapoteza.
Hii shoka ni timu ya wapi?Shoka
Wayege fc zilikuwa mbili kuna moja ilikuwa ni ya buhanda na nyingine ilikuwa ni ya nyakageniWWa
Wayege fc,Gungu rangers bila kusahau fc Congo za kigoma
Hapo walipita wengi kuanzia kina suleyman Yusuf "eppe" wa shangani znz,Saleh hilal,husen bhalo,Omar katumba,said maulid,seleman matola n.k
Mcheza kinyago cha kimakonde au?Huyu Amini mwinyimkuu alikua anaujua sana na alikua maarufu kwenye mpira msisiri nzima sema akaamua kuchagua mziki zaidi
Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Hapendi kufungwaAmani George aliacha mapema shida sijui nini labda kwakua kaka aliyekua US alimshauri ila aliacha wakati alishaanza kuwa na jina maana ni kipindi kile kile alikua mfungaji bora taifa cup,huyu Lau alikua anaujua sana sema mkorofi sana mechi za uswahilini lazima agombane
Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Huyu wa bongo fleva..tulikua tunamwita nduli enzi hizoMcheza kinyago cha kimakonde au?
Au dogo mmoja wanamwita Robert alikua anakaa mitaa ya kota huyu alicheza sana south alikua anabaniwa ITC na TFFHapendi kufungwa
Hii nchi hii, walitokea madogo juzi juzi, mmoja wanamwita messi au kibabu, na ngaga lakini sasa wanashindana kumaliza double kick.Au dogo mmoja wanamwita Robert alikua anakaa mitaa ya kota huyu alicheza sana south alikua anabaniwa ITC na TFF
Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Hahaaaaaa, Mungu awasaidieHii nchi hii, walitokea madogo juzi juzi, mmoja wanamwita messi au kibabu, na ngaga lakini sasa wanashindana kumaliza double kick.
Kwenye soka hawezi kuwasaidia tena, labda waache dabo kiki wanywe bia.Vinginevyo!Hahaaaaaa, Mungu awasaidie
HahaaaaaaKwenye soka hawezi kuwasaidia tena, labda waache dabo kiki wanywe bia.Vinginevyo!