Kommando muuza madafu
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 3,216
- 7,254
- Thread starter
-
- #141
Wa wapi hao? Mimi huyo David ndio mchezaji wangu bora kumshuhudia kwa macho yangu.1. Omar kaliki (gaucho) mpk Sasa atabakia kua Bora hapa Tz Kwa walio wai mshuhudia ....
2.Dizo Huyu alikua na matege Huyu alikua na kipaji Cha kipekee sanaaa...
3.Babudinyo Huyu Kwa Sasa ni mwalimu alipewa jina Babu dinyo waki maanisha Huyu jamaa ni gaucho anajulikana kagasheki cup
4. Nokia Huyu anajulikana kagasheki cup
5.
List ni ndefuu
Hata mimi nilikuwa napiga free kick ile mbaya. Kuna moja nilipiga wakati nasoma Galanosi Sekondari hadi leo nikimkumbusha jamaa aliyedaka kwenyw group la Wanagalanosi anasema nilitaka kumuua maana jamaa waliweka ukuta hatua chache tu toka nilipo na nikavusha ukuta na mpira kwenda kugonga kule kwenye mwamba anapotagia njiwa na kuingia nyavuni.Huu Uzi umenisisimua sana Huwa nikikanyaga ardhi...
Kitu pekee ambacho ningekifanya Kwa uraisi ni mpira wa miguu....
Free kick na penalty ni eneo nililo train hard mm kwangu ilikua ni kuwapa fedheha timu pinzani...
Pia kulikuwa na JKT Kanembo au Kanembwe nilishacheza nao nikiwa napiga ndondo kule Mpanda. Jamaa walikuwa moto sana.F. F. U fc Kigoma watu makini saana hawa
John boko kacheza na babakoFC bandari ya tanga hii baba yangu alicheza hapa na John bocco
Angebadili uraia tu kwani **** vijana wengi nilikuwa nawafahamu wa Pale kihonda walikuwa wanacheza nje ila kwa utaia wa nchi nyingune kwani Tz magumashi ni mengi sana. Hata Tanga kuna vijana wengi walizamia nje na wanakuwa /tafuta uraia wa nchi nyingine.Au dogo mmoja wanamwita Robert alikua anakaa mitaa ya kota huyu alicheza sana south alikua anabaniwa ITC na TFF
Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Aiseeehh umenikumbusha huyu bwana Rashid Matata alikuwa na kigugumizi cha hatari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dada yake alikuwa ametenga mzigo wa haja [emoji39][emoji39][emoji39]Sawa sawa akina matata, Mimi ni nduguye na joker.(Evance mkunyugu)
Ahaa poa mkuu matata zake korokoro tu.Aiseeehh umenikumbusha huyu bwana Rashid Matata alikuwa na kigugumizi cha hatari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dada yake alikuwa ametenga mzigo wa haja [emoji39][emoji39][emoji39]
Kina Saidi Minandu,Marinda,Saidi bonge,Kheri (dogo alikuwa anaupiga mwingi sana na kichwani alikuwa vema pia),mapacha niliowazungumzia ni wale wa msufini pale uwanjani,hao kina Hendrick walikuwa wanachezea sana White Star........
Mimi nimezaliwa na kukulia pale mtaa wa Bakule bar ya zamani iliyo karibu na Kamanyola bar..............
Kinesi haikuwa timuAbajaro na Kinesi za Dar
Ndio hata boko ukimuuliza anamjua mzee
Yani kacheza naye wote wakiwa na umri ganiNdio hata boko ukimuuliza anamjua mzee
Umri sijui ila wamecheza wote timu moja
Shule si imeshafunguliwa sasa unachat darasani?Umri sijui ila wamecheza wote timu moja
Pia hapo boco alicheza na Mr mbaga (huyu ni mwalimu wa Taqwa high school mwanza)
Taqwa hapo nilipita miaka 7 nyuma ila huyo ticha alisema kacheza na boco piaShule si imeshafunguliwa sasa unachat darasani?
we jamaaGonga - Ilala Mchikichini
Waongo wote.Taqwa hapo nilipita miaka 7 nyuma ila huyo ticha alisema kacheza na boco pia
Aliona jina langu akasema anamjua mzee
Kuwa alicheza mpira na mzee wangu hapo fc bandari ya tanga
KINESI lol hiyo timu maskani yake ilikuwa wapiAbajaro na Kinesi za Dar
Burkina kiboko Yao Rhino na Kaizer chiefs,baadae ikaja Uhuru RangersBurkina ilikuwa timu bora sana.