Tujikumbushe vifo vilivyotokea Morogoro, JB na wenzake walipopigwa risasi na kufa papo hapo

Sawa kabisa huyo huyo juma balatoz almaarufu JB.

JB- Juma Banatoz Mwanamazingaombwe maarufu enzi hizo, baadae mfanyabiashara na mfadhili wa Bendi mbali mbali.

Waliwahi kupigana mkwara na Ng'wizukulu Jilala mjukuu wa Mwana Malundi...lakini wote wametangulia mbele za haki kwa vifo vilivyofanana.
Ng'wizukulu alimwambia mwenzake utakufa vibaya sana, JB akamjibu na wewe utakufa hivyo hivyo.
Na kweli wote walikufa kwa risasi Ng'wizukulu akiuawa Nchini Angola kwa kupigwa risasi.
 
Sad!!!

Watu wa Mahenge wameandamwa kulikoni!
Nakumbuka na hao wa zombe walikuwa ni wa huko na wote walikuwa wafanyabiashara ya madini
Na huo ndio ukweriii. Kosa lao ni kuonekana kuwa na pesa nyingi na kuwa na matumizi yenye viashiria vya wizi kutokana na intelijensia na weledi wa wale jamaa.
 
Ukifungua hii code pia ukafungue code ya Kombe Jasusi
 
Nakumbuka nilihudhulia mazishi ya JB miaka hio ilikua ni Musoma na watu wa huko wanajua kabisa jamaa alikua ni Jambazi
Jb hakuwa jambazi alikuwa tapeli mpigaji siku hiyo inasemekana alikuwa Na mpunga mrefu Sana Na polisi walikuwa wanajua so wakaamua kumuua Na kuchukua mzigo wake Kisha wakamtangaza yeye kuwa Ni jambazi
 
Nakumbuka nilihudhulia mazishi ya JB miaka hio ilikua ni Musoma na watu wa huko wanajua kabisa jamaa alikua ni Jambazi
Jb hakuwa jambazi alikuwa tapeli mpigaji siku hiyo inasemekana alikuwa Na mpunga mrefu Sana Na polisi walikuwa wanajua so wakaamua kumuua Na kuchukua mzigo wake Kisha wakamtangaza yeye jambazi
 
Ebaana superbug Acha uduwanzi chalii yangu. Lazima uniue timiza ahad yako ya kuniua baada ya kuwaibia TV chogo 1988.

Kammmmonnn

Erythrocyte
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…