Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Mabasi ya UDA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vilikua vinaitwa four angle 😂peni za bic
mashati ya bushoke
Juisi ya sobo ya kuchanganya na maji
viatu vya fokona (four corner)
Dah hiyo aha long time wazee acha tu.Komoa
aha dawa ya meno
Onga mchuzi mix
Baiskeli ya Phoenix ( Fonex)
Simu za Siemens, HTC, Panasonic
Vimto mkuu.Kinywaji cha Vinto.
Gazeti la Alasiri.
Sabuni ya Codray.
Chupi za VIP.(Taiwani)
Sabuni za AYU.
😂😂😂Mapigo yangu hayo enzi hizo wakuu acha kabisa this life.Suruali za vitambaa ila mifuko ni kama jeans style
Mwaka jana nilienda geita nikakuta bado wanatumia wembe wa topaz. Wasukuma wapo nyuma sana...Kimbo
Topaz
Sunvita
Komesha
Kwenye pen umeua mkuu.Pens:
splendid, Beifa, biki, cello, finegrip(za sasa sio nzuri), multi ink pen(red, blue and black).
Radio:
walkman zile zina kanda zilikuwa zinawahi kufa spika na sehemu ya kanda na zile radio za CD zilikuwa round shape unatembea nayo na earphone flan nyeusi zenye nyaya line(L shape socket).
aitkenson na Kichbo
View attachment 2720762
hlf console
View attachment 2720766
Nawapiga hela washamba enzi hizo
View attachment 2720767
Ukipuliza hii nusu saa we kidume
more to come
Enzi hizo niko mrefu kama mlingoti, suruali za mfumo wa jeans halafu zina upana wa kufa mtu kama ule mfuko wa kusagia mashineni.😂😂😂Mapigo yangu hayo enzi hizo wakuu acha kabisa this life.
Picha muhimuTuwakumbushe watoto wa kizazi hiki kuhusu bidhaa na vitu mbalimbali vilivyokuwepo zamani lakini kwasasa havipo.
Naanza na Sabuni ya Mbuni…
😂😂😂Kanda ya ziwa moja hii😂Sabuni ya KWANGA
Daaa DH tulikuwa tunaita kirefu Dingi Hana uwezoMafuta ya kupaka ASHANTI.
Jeans SAVCO.
raba DH.
Suruali kitambaa MCHELE MCHELE.
Jeans nyeusi za kuweka Rangi za UKILI.
viatu CHACHACHA.
kiatu SAFARI BOAT.
Kandambili BATA.
PARFUM Yolanda.
sobo bado ipo malawi mkuu... hata ukishuka tu hapo kasumulu unakutana na sobopeni za bic
mashati ya bushoke
Juisi ya sobo ya kuchanganya na maji
viatu vya fokona (four corner)
😂😂😂😂 hii mada inanifurahisha sana kwa sababu inanirudisha nyuma miaka mingi sana aisee.Water guard bado ipo?
Chachacha na bata ndio zilikua shoes zangu za kutokea krismasi ama sikukuu ya maana😂. Otherwise kunikuta peku ilikua jambo la kawaida sana.Mafuta ya kupaka ASHANTI.
Jeans SAVCO.
raba DH.
Suruali kitambaa MCHELE MCHELE.
Jeans nyeusi za kuweka Rangi za UKILI.
viatu CHACHACHA.
kiatu SAFARI BOAT.
Kandambili BATA.
PARFUM Yolanda.