Tujikumbushe vitu na bidhaa mbalimbali za zamani ambazo kwasasa hazipo tena

Tujikumbushe vitu na bidhaa mbalimbali za zamani ambazo kwasasa hazipo tena

Vipindi vya Radio Tanzania Dar es Salaam(RTD):
1. Mama na Mwana
2. Mkulima wa Kisasa
3. Majira
4. Kombora
5. Salamu za Wagonjwa
6. Pwagu na Pwaguzi
.........
 
1692437761582.jpeg
 
Maisha yamekuwa magumu nini? Naona mnakumbuka utotoni
 
Tangazo la kipindi Cha hawavumi lakini wamo, zamani ilianza na wimbo ufuatao.

Wazazi wangu baba na mama mwaniaibisha kila siku kugombana gombana sio vizuri.
 
Kipindi Cha Malumbano ya hoja ITV Kilimanjaro hotel. 1998-2000
Host: Adam Lusekelo na Abdalla Majura.
Kilikuwa kizuri Sana.
 
Back
Top Bottom