Tujikumbushe vitu na bidhaa mbalimbali za zamani ambazo kwasasa hazipo tena

Tujikumbushe vitu na bidhaa mbalimbali za zamani ambazo kwasasa hazipo tena

Nimenda India na Lagosi nimekuta mboga zinapikwa kwa kiungo Cha binzari.Je mbona hapa bongo wamesahau hiki kiungo.Tumieni binzari kwa ubora wa ini zetu.
Hao Jamaa wapo natural sn, Ila natamani sn ningepata connection ya kule Nigeria nitumiwe zile "Cola nuts" naskia zina maajab makubwa sn
 
Kalamu yangu Bora ya Mda wote, enzi hizo nasoma bila kuandikia hii nilikua sielewi,
Sizani kama mpk leo zipo nilikuq nazifuata mpk k.koo, kuna kipindi nilitafta nikakosa.
Cello Gripper Ballpoint Pen
Screenshot_20230818_215254_Google.jpg
Screenshot_20230818_215123_Google.jpg
s-l1600.jpg
 
Back
Top Bottom